Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Hatarii kabisaSiku nikizikamata lazima huu mzigo uingie magetoni, gari na nusu ile. Inakupa kila kitu, nenda shamba, town popote inafit.
Ndivyo wanavyoziita mtaani,Nasikia ni roho ya paka ila sijazitumia
Zinawahi kuchanganya lakini kwa mbio hilux ni hatariNaona nora nikimbilie kwa nissani hardbody tu
Mzee hizo gari hazifagi ni Mkataba