Navara ni gari nzuri, ina stability na comfortability. Mwanzo watu walikuwa wanaogopa maintenance cost ila saizi taasisi na makampuni mengi yanatumia Navara.
Running cost na maintenance za Hilux za kisasa zenye engine za Kd na Gd zinalingana na Navara zenye engine ya Yd25.
Toyota engine iliyokuwa jiwe ni L series (2L,3L,5L) ikaja Kz ingawa uimara haikufika kwa L. Hizi engine za kisasa Kd na Gd licha ya nguvu zinataka uangalizi ukikosea kwenye mafuta kuua Injector Nozzle na fuel pump ni rahisi na bei ya kununua hizo parts ipo juu Hakuna utoyota nafuu.