Ni sababu ipi Toyota Hilux kuwa na bei ya juu kuliko Toyota nyingi sokoni?

Navara ni gari nzuri, ina stability na comfortability. Mwanzo watu walikuwa wanaogopa maintenance cost ila saizi taasisi na makampuni mengi yanatumia Navara.

Running cost na maintenance za Hilux za kisasa zenye engine za Kd na Gd zinalingana na Navara zenye engine ya Yd25.

Toyota engine iliyokuwa jiwe ni L series (2L,3L,5L) ikaja Kz ingawa uimara haikufika kwa L. Hizi engine za kisasa Kd na Gd licha ya nguvu zinataka uangalizi ukikosea kwenye mafuta kuua Injector Nozzle na fuel pump ni rahisi na bei ya kununua hizo parts ipo juu Hakuna utoyota nafuu.
Kwa ushauri wako kwa uwezo wetu wabongo tuchukue navara ya mwaka gani hadi gani.

Ahsante

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Watu wanachanganya sana madesa !! 1hz sio engine ya mbio wala nguvu , yenyewe ina sifa tu ya uimara.
Mbio kwa hiyo series ni 1hd au walau 12 ht
Umiara na ku pull heavy loads thats , and high altitudes ngoma bado inachanganya.
Ila kwenye mbio we all know si eneo lake. Watu bado wanamix hizi mambo
 
zinavumilia mazingira magumu na zinadumu sana ukifananisha na gari zingine za jamii yake
 
Watu wanachanganya sana madesa !! 1hz sio engine ya mbio wala nguvu , yenyewe ina sifa tu ya uimara.
Mbio kwa hiyo series ni 1hd au walau 12 ht

Huu ni uwongo wa karne hii. 1HZ haina mbio, 1HZ haina nguvu! Stori za vijiweni hizi. 1HZ imewekwa kwenye gari aina nne za uhakika Coaster, Shangingi zote LC 80 Series, Land Cruiser. Wewe unaizungunzia 2H sio 1HZ na hujawahi kuwa na gari yenye 1HZ mzee.

Engine yenye RPM 4000 haina mbio. 😁
Engine yenye Piston stroke 100mm haina nguvu wala mbio. 😁

Torque yake 285..

Toyota imeweka hii engine kwenye Makumbusho yake kama enhine bora ya muda wote.
 
Uwe unasoma vizuri kabla ya kulalamika, hizo engine mbili hapo nilizokutajia umewahi kutumia?, na zote zilikuwa zinakuja kwenye expensive versions za coaster na Lc!
Narudia tena 1hz haina mbio wala nguvu japokuwa ni moja ya engine imara sana za Toyota.
 
Habari wakuu nampango wa kutafuta zile pickup hilux zinazouzwa na mataasisi ya serikali au binafsi ili nizifufue , naomba ushauri wenu na connection ya kuweza kuzipata.
 
sisi huku UN na migodini ziko kruza tu
 
Nimenunua gari used pickup hilix 2.8D ya 2004, ilikuja bongo 0km mwaka 2005, ila nimekuta ina mileage ya 328000km.
Hivi hizi gari tunazouziwa beforwad za japan utakuta inetengenezwa mwaka 2002-2005 unakuta zina mileage ya 150k, hizi mileage ni za kweli?
 
Uwe unasoma vizuri kabla ya kulalamika, hizo engine mbili hapo nilizokutajia umewahi kutumia?, na zote zilikuwa zinakuja kwenye expensive versions za coaster na Lc!
Narudia tena 1hz haina mbio wala nguvu japokuwa ni moja ya engine imara sana za Toyota.

Narudia tena pia. Hii kama sio uwongo basi ni ile wazungu wanasema "Generation fallacy".

1HZ inatofautiana na 1HDT kwenye eneo dogo sana, 1HZ injectors ni direct injection engine na 1HDT combustion inatoka nje ya cylinder, kinyume na hapo zote ni engine sawa sawa, kwa torque, cc, cylinders na RPM.

Pia nikupe tip ambayo huijui ofloader 1HDT haitumiki, ndio maana huwezi zikuta 1HDT kwa National parks wala Kampuni za utalii. 1HZ haina nguvu tafuta engine nyingine ya kulinganisha sio HDT.
 
Kwamba 1hd combustion inatoka nje ya cylinder? We jamaa upo timamu kweli, unaelewa maana ya internal combustion?
Tofauti kati ya 1hz na 1hd ni kuwa moja ni natural aspirated (1hz)nyingine ni turbocharged (1hd) japokuwa zote ni cc 4200 lakini zina combustion ratio tofauti kabisa, kwa hiyo unaposema 1hz na 1hd zina torque sawa, wewe sasa ndo unasema uongo
1hz ina torque ya 285N.m @2200 rpm
1hd ina torque ya 380 N⋅m @ 1,400 rpm. Unasemaje hiz engine zinafanana torque?
Ni kweli kuwa ni adim kuikuta 1hd kwenye shughuli za utalii, mosi ni engije ya gharama pili turbocharged engine hazipendi mazingira ya off road
 
1

1hz amezaa watoto wafuatao,, 1hz ina valve 12 na haina turbo, 1hd T ina valve 12 na turbo juu zote hizo mbili ziliendelea kutumia mechanical fuel pump,, baadae ikaja 1hd ft hapa valve zikawa 24 na turbo ilia pampu bado ni mechanical mwisho kabisa wakamaliza kazi na 1HD Fte hapa valve ni 24 turbo na electric fuel pump
 
Umeanzia history kati kati
Generations ya hizo engine inaanzia H engine, ikaja 2H, ikaja 12 ht ndo 1hz na 1hd, katika engine hizo zote 1hd ndo imefanyiwa maboresho zaidi kuliko engine zote zilizotangukia.
 
Kwamba 1hd combustion inatoka nje ya cylinder? We jamaa upo timamu kweli, unaelewa maana ya internal combustion?
Tofauti kati ya 1hz na 1hd ni kuwa moja ni natural aspirated (1hz)nyingine ni turbocharged (1hd) japokuwa zote ni cc 4200 lakini zina combustion ratio tofauti kabisa, kwa hiyo unaposema 1hz na 1hd zina torque sawa, wewe sasa ndo unasema uongo
1hz ina torque ya 285N.m @2200 rpm
1hd ina torque ya 380 N⋅m @ 1,400 rpm. Unasemaje hiz engine zinafanana torque?
Ni kweli kuwa ni adim kuikuta 1hd kwenye shughuli za utalii, mosi ni engije ya gharama pili turbocharged engine hazipendi mazingira ya off road

kuhusu combustion, ni wewe ndio hujaelewa lugha yangu. Nilichoeleza ndicho ulichoeleza yaani, 1HZ inalipua/fire kwenye Pre-combustion (Sisi tunaita nje/nyuma), hii ndo inafanya 1HZ kuwa Indirect-injection engine. 1HDT inalipua au inaanzia ndani/inside ya Cylinder na kuifanya 1HDT kuwa Direct Injection Engine. Neno "kulipua nje/nyuma" wenda kwako ni geni ila ni la kawaida gereji.

Hoja yako ilikuwa ni kwamba "1HZ engine ni engine imara lakini haina nguvu wala mwendokasi".

Kwenye mwendo unajipinga wewe mwenyewe kuhusu R.P.M. Kwa maelezo yako mzunguko (r.p.m) wa 1HZ ni 2200 kwa dakika wakati R.P.M ya 1HDt ni 1400. Kimsingi umekubali kama wewe ni fundi kweli, kwamba 1HZ inazunguka kwa kasi zaidi ya 1HDt kwa dakika. Hivyo ni wazi 1HZ ina kasi zaidi ya shaft kuliko 1HDt ambazo zote zinashea geabox aina moja yenye gia sita.

Torque ina tofauti ya 95, yaani 1HDT ina torque kubwa ni sahihi, sikupingi hapa na hii ni sababu ya turbo charged.

Nashukuru kwa kuwa umekiri 1HZ ni chaguo bora la off-road. Asante sana
Kigezo sio gharama wala turbo kigezo ni ubora (cast iron block),nguvu, mbio na mwendokasi wa hili jiko huko porini.

Naomba niondoe neno Uwongo, maana hapa tunaelekezana kwa faida ya wote mkuu, kuna vitu umenieleza nimevukubali na nimejifunza pia hasa kuhusu Torque ya 1hdt
 
Umeanzia history kati kati
Generations ya hizo engine inaanzia H engine, ikaja 2H, ikaja 12 ht ndo 1hz na 1hd, katika engine hizo zote 1hd ndo imefanyiwa maboresho zaidi kuliko engine zote zilizotangukia.

Maboresho gani yaliyopo kwenye 1HDt yanayoifanya iwe bora kwenye mwendokasi na nguvu zaidi ya 1HZ zaidi ya torque?
 
Back
Top Bottom