Ni sababu ipi Toyota Hilux kuwa na bei ya juu kuliko Toyota nyingi sokoni?

Ni sababu ipi Toyota Hilux kuwa na bei ya juu kuliko Toyota nyingi sokoni?

Naifahamu Hilux moja ilikuwa na usajili wa Tzt huu inaenda mwaka wa 23 . ukiiwasha muda wowote unaenda nayo mokoa wowote muda wowote .
images.jpeg-32.jpg

images.jpeg-33.jpg


images.jpeg-34.jpg
 
Roho ya paka ni zile 2L,3L,5L...hizi za sasa hivi ni multiple uses kama za zamani ila kwenye uimara sio sana.Kwenye mbio hizi za sasa usizichukulie poa V8 inabidi ikae chonjo sio kinyonge.
Umeisahau L series yenyewe ilianza ndipo ikaja 2L , ilikuwepo kipindi ambacho 12R engine ipo kwenye chat
Kz na Kd engine series sio mbaya pia
 
Wenyewe wanaziita Bombadia. Kazini zipo mbili, za South na nyingine JP. Za JP zipo loaded full options za SA zimebaniwa sana.
Toyota yoyote iliyotengenezwa under licence haiwi na full option. Mfano raider za south africa hadi toleo la mwaka 2000 nyingi zilikuwa hazina Abs wakati hilux ya japan miaka hiyo baadhi zilikuwa hadi zina Ebd
 
tuko kwa land cruiser mkonga, Lindi huko, ikatupita Hilux ya Tanesco
dereva wa Mkonga akamaliza gear
Hilux iko mbele kabisa akaongeza mwendo, iyoooo inapotea mpaka ikawa kiduchu, haikuonekana tena

Mkonga sio gari ya mbio.Imetengenezwa mahususi kwa ajili ya kuvumulia mateso ya porini. Ni roho ya paka, Hilux akasome
 
Back
Top Bottom