Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Hizo Hilux zenye 1GD na 2GD mbabe wake ni Nissan Navara zenye Yd25 kwenye mbio na stability. Durability Hilux inabaki kuwa kinarakuna siku jamaa alikuwa na 1HZ akaidai ligi na hizi Hillux za saiv aisee Hillux ilimwacha kama kasimama
na huwa nawaza kwanini Navara sehemu nyingi sio kipaumbele kama ilivyo kwa HilluxHizo Hilux zenye 1GD na 2GD mbabe wake ni Nissan Navara zenye Yd25 kwenye mbio na stability. Durability Hilux inabaki kuwa kinara
Navara nigari nzuri sana nivile sisi wa TZ tumeaminishwa kwenye toyotana huwa nawaza kwanini Navara sehemu nyingi sio kipaumbele kama ilivyo kwa Hillux
Navara ni gari nzuri, ina stability na comfortability. Mwanzo watu walikuwa wanaogopa maintenance cost ila saizi taasisi na makampuni mengi yanatumia Navara.na huwa nawaza kwanini Navara sehemu nyingi sio kipaumbele kama ilivyo kwa Hillux
Uimara?
Ukubwa?
Demand?
Mechanism?
Performance?
Anything else?
Karibuni wana jamvi wenye knowledge juu ya hili.
Multiple uses,
Shamba ,site,safari na hata batani unapaki kiroho safi
Pia ni ngumu zinahimili mikiki.
kuna watu mnajua vitu vingi sana ayseeUmeisahau L series yenyewe ilianza ndipo ikaja 2L , ilikuwepo kipindi ambacho 12R engine ipo kwenye chat
Kz na Kd engine series sio mbaya pia
Upo sahihi kabisa, kd , gd engines zote ni common rail injectiin , with piezo electronic nozzle , ni nozzle sensitive sana kwa mafuta machafu na hazina fail safe mode of operation. Yani unaweza ukapata shida ya nozzle halafu ikasababisha ufanye overhaul ya engine .Navara ni gari nzuri, ina stability na comfortability. Mwanzo watu walikuwa wanaogopa maintenance cost ila saizi taasisi na makampuni mengi yanatumia Navara.
Running cost na maintenance za Hilux za kisasa zenye engine za Kd na Gd zinalingana na Navara zenye engine ya Yd25.
Toyota engine iliyokuwa jiwe ni L series (2L,3L,5L) ikaja Kz ingawa uimara haikufika kwa L. Hizi engine za kisasa Kd na Gd licha ya nguvu zinataka uangalizi ukikosea kwenye mafuta kuua Injector Nozzle na fuel pump ni rahisi na bei ya kununua hizo parts ipo juu Hakuna utoyota nafuu.
Ni bei gn hii mashine kuigiza Japan mpka mkononiNajichanga niivute
Wajanja sana wachina wew,,, yaani we huoni wanatutengenezea vi tecno afu wao ndo wanaongoza kutumia iPhone???wanajua kabisa gari ndogo zakichina kwa misele ya saiti haziwezi kwo huwezi let uzalendo wakijingaNawaona hawa wachina wa CCECC trucks zote wanatumia HOWO za kwao ila misele ya wahandisi ni hizo Hilux pekee.
Zimeliza watu waliozoea kufanya Toyota yoyote ni punda hachagui mafuta.Upo sahihi kabisa, kd , gd engines zote ni common rail injectiin , with piezo electronic nozzle , ni nozzle sensitive sana kwa mafuta machafu na hazina fail safe mode of operation. Yani unaweza ukapata shida ya nozzle halafu ikasababisha ufanye overhaul ya engine .
Hujakosea kbsaHii ndio gari ya ndoto yangu aisee!View attachment 2746990
Ford everest nasikia nazo zpo comfortable sanaKuna hizi Hilux new model nilienda ligi na jamaa mi niko na Ford Everest tabora town - itigi jamaa nilimkuta itigi amemaliza hadi kula ananisubiri 😂😂
Ile gari ipo sawa asee, nimejaribu Toyota Fortuner na Nissan Terra ila Ford ipo mbali sanaFord everest nasikia nazo zpo comfortable sana
wadau wengi wenye hela wamekariri toyota tu...Ile gari ipo sawa asee, nimejaribu Toyota Fortuner na Nissan Terra ila Ford ipo mbali sana