Nilikuwa naongelea torque curve na nilitegemea kama mtalaam ungelibeba kiusahihiKwenye mwendo unajipinga wewe mwenyewe kuhusu R.P.M. Kwa maelezo yako mzunguko (r.p.m) wa 1HZ ni 2200 kwa dakika wakati R.P.M ya 1HDt ni 1400
1hd ina nguvu kuliko 1hz toka matoleo ya kwanzaMaboresho gani yaliyopo kwenye 1HDt yanayoifanya iwe bora kwenye mwendokasi na nguvu zaidi ya 1HZ zaidi ya torque?
Mimi nazungumzia toleo la valve 12 mkuu. Hakuna kitu ambacho nakieleza hapa hakipo. Umeeleza kuhusu Torque,huelezi juu ya R.P.M, kiuhalisia 1HZ pamoja na kutoa Torque curve 285 bado ina Revolution Per minute R.P.M ya 2200. Hi inakinzana na fact yako kwamba 1HZ haina kasi/mbio.1hd ina nguvu kuliko 1hz toka matoleo ya kwanza
1hd ilianza na mechanical pump. Ikiwa na valve 12, matoleo ya mwisho ya 1hd yalikuwa na electronic controled injectior pump na yalikuja na 24 valve.
Nilikuwa naongelea torque curve na nilitegemea kama mtalaam ungelibeba kiusahihi
Sikumaanisha ulichoelezea na kiufundi hakipo unachokielezea, kimsingi 1hz inapata peak torque ikiwa na rpm 2200 wakati 1hd inapata peak. Torque katika 1400 rpm, maana yake ninkuwa 1hdt inatoa nguvu nyingi ikiwa na rpm chache kuliko 1hz.
Soma maelezo yako kwa makininutagundua unapokosea, rpm engine zote zinakwenda hadi 6000 rpm, ila kinachizungungumizwa ni peak torque rpmKitu gani naelezea hapa hakipo. Kiweke wazi ambacho hakipo.
Again unafanya kosa lile lile, mkuu soma vizuri kuhusu engine parameters utajifunza kitu, hapq unaleta hisia na mahaba ya 1hz unasahau fact.Torque,huelezi juu ya R.P.M, kiuhalisia 1HZ pamoja na kutoa Torque curve 285 bado ina Revolution Per minute R.P.M ya 2200. Hi inakinzana na fact yako kwamba 1HZ haina kasi/mbio.
Soma maelezo yako kwa makininutagundua unapokosea, rpm engine zote zinakwenda hadi 6000 rpm, ila kinachizungungumizwa ni peak torque rpm
1hz inapata peak torque at 2200 rpm akati 1hd inapata peak torque at 1,400 rpm, hii haimaanishi kwamba 1hd itaishia 1400 rpm, kama ulivosema hapo juu
Akisema 1HDT bado kuna engine mbili mbele yaani 1 HD FT na 1HD FTE ambapo kimsingi yenye imefanyiwa maboresho ya kisasa zaidi ni 1hd fteMaboresho gani yaliyopo kwenye 1HDt yanayoifanya iwe bora kwenye mwendokasi na nguvu zaidi ya 1HZ zaidi ya torque?