Kama huwezi kutambua kuwa magufuli alikuwa na PhD feki basi kichwa chako ni bustani ya nywele.Wewe kilaza kweli. Hilo swali ndo inatakiwa uulizwe wewe. Anayetakiwa kuleta ushahidi ni yule aliyetoa mashtaka. Kwa vile ben hayupo, tuletee wewe kibaraka wa gang lenu, ushahidi kwamba hakuna thesis. Siyo utoe shutuma then eti jpm ajitetee, leta ushahidi ndo tutajua ni ukweli au matango pori
Wajinga lazima mseme hivyoJiwe alikuwa hana akili...
Kiongozi wa hovyo kutokea...
Anadanganya watu eti mzalendo na kuchukia ufisadi huku yeye akiwaibia wafanyabiashara...
Kama alikuwa jiwe kweli kweli mbona walimchezea akasepa?
Sawa mjane wa jiweWajinga lazima mseme hivyo
Ama mtu ni jiwe, jabali au wewe laini kama papai, sote tutaonja mauti.Sawa mjane wa jiwe
We shenzi nn?Ama mtu ni jiwe, jabali au wewe laini kama papai, sote tutaonja mauti.
Waliotangulia haina maana kwamba ni wazembe au kwamba wewe ulie hai ndo mjanja sana. Ni suala la muda tu.
Tunawajua nyinyi ni wale "wazuri hawafi" lakini hamtatoboa next sanduku bila kutaja jina la jiwe! Rudia mwenzenu Lisumbufu mpaka kuzuru kaburi
Unamatatizo ya akili.unamtukana mtu aliyefariki lakini kakupita kila kitu.We shenzi nn?
Usijipendekeze kwangu...
Haita kaa itokee Ikulu kupata mwehu kama Jiwe... Na ametangulia wote tumeona...
Sasa kaa kwa kutulia.. Kama mlizoea kuendesha nchi kwa uonevu na kubambikia watu kesi ili mpate hela za dhuluma imeisha hiyo
Kwa hiyo ww alikupatia kila kitu?Unamatatizo ya akili.unamtukana mtu aliyefariki lakini kakupita kila kitu.
Kama alivyosema msemaji wa serikali Mobhare Matinyi kwamba huwa wanasoma mijadala yote muhimu ya humu jamiiforum; basi tunaomba kama watanzania tupatiwe majibu ya swali hili maana sio jambo la kawaida.
Mods msifute huu uzi wala kuunganisha maana unaenda sambamba na kauli ya Mobhare Matinyi juu ya JAMIIFORUM.
Nakazia tu kwa huyo NgarobWe shenzi nn?
Usijipendekeze kwangu...
Haita kaa itokee Ikulu kupata mwehu kama Jiwe... Na ametangulia wote tumeona...
Sasa kaa kwa kutulia.. Kama mlizoea kuendesha nchi kwa uonevu na kubambikia watu kesi ili mpate hela za dhuluma imeisha hiyo
Duh..Kijana Ben alikamatwa na watu "wasiojulikana" (hawa walikuwa ni kikundi cha kuteka na kuua chini ya Makonda) wakamtesa sana, wakamhamisha sehemu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kumfikisha kwa Magufuli lakini alibaki na msimamo wake kuwa PhD ya Magufuli siyo halali. Hatimaye alikufa katika vyumba vya mateso na maiti yake ikapelekwa MNH kwa jina tofauti.
Ametangulia yeye Sasa kweli Mungu fundi
Uhuru Gani wa kijificha kama digidigiDuh..
Halafu Makonda yupo huru tu!!!
Jinai haiozi wala haizeeki. Ni suala la muda tu, yaweza kuwa 2025 au 2030. Kitakachomuokoa Makonda kupanda kwa Pilato ni kifo tuDuh..