Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Korona ilimsomba na bwana yuleHivi huyu lizaboni yupo humu kweli? Maana sioni nyuzi zake kabisa
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Hujui ulichokiandika. Magufuli alikuwa waziri tu katika serikali zote mbili na pengine hakuwa amepanga kugombea urais siku moja akipata nafasi...Magufuli alikuwa muoga.
..ndio maana alikuwa ameufyata wakati wa Mkapa na Kikwete.
..angekuwa sio muoga asingesubiri awe na cheo au madaraka ndipo atetee rasilimali zetu.
Aisee hii nchi kuna watu wana taarifa nyeti sana (kama huu mfano ni valid).Kijana Ben alikamatwa na watu "wasiojulikana" (hawa walikuwa ni kikundi cha kuteka na kuua chini ya Makonda) wakamtesa sana, wakamhamisha sehemu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kumfikisha kwa Magufuli lakini alibaki na msimamo wake kuwa PhD ya Magufuli siyo halali. Hatimaye alikufa katika vyumba vya mateso na maiti yake ikapelekwa MNH kwa jina tofauti.
Nenda UDSM kwenye maktaba ya kitivo cha kemia, ukajaribu kuazima Thesis ya Magufuli, nakuhakikishia hutopewa. Imeondolewa, ni aibu.
Supervisor wa Thesis Magufuli, ambaye ni Profesa jina linaanza na "Bu", alipewa Uwenyekiti wa Bodi mbalimbali baada ya Magufuli kupata uRais. Na Mkuu wa Idara aliyekuwapo wakati huo alikuwa ni mlemavu wa miguu jina lake linaanza na "Prof Md" alipewa Ukatibu Mkuu wa Wizara
Huelewi mjadala umeanzia wapi. Issue ni kwamba ali FORGE chapisho la muswaada wa PhD. Kuwa kwenye orodha ya wahitimu wa mwaka huo siyo hoja ya kubishaBado hujajibu swali langu, tukuamini wewe au taasisi husika?
Nikienda kuomba orodha ya wahitimu wa mwaka aliohitimu, jina la mhitimu huyo halita kuwepo?
Mkuu hii issue ni VALID. Ndiyo maana hakuna hata mmoja ameweza kui challenge, ukiacha yule aliyemtaja Kubenea kuwa alikuwa anajuwa Ben Saanane alikoAisee hii nchi kuna watu wana taarifa nyeti sana (kama huu mfano ni valid).
Huelewi mjadala umeanzia wapi. Issue ni kwamba ali FORGE chapisho la muswaada wa PhD. Kuwa kwenye orodha ya wahitimu wa mwaka huo siyo hoja ya kubisha
Makonda akitaka laana isimwangukie yeye na vizazi vyake,aonyeshe walipo mhifadhi,familia impumzishe kwa heshima,naye aombe radhi akimsukumia mzigo aliyemtuma.Mkuu hii issue ni VALID. Ndiyo maana hakuna hata mmoja ameweza kui challenge, ukiacha yule aliyemtaja Kubenea kuwa alikuwa anajuwa Ben Saanane aliko
Ni Ben Saanane ndiye aligundua,Una maanisha taasisi haikujua kwamba alifanya hivyo, mpaka wakamtunuku shahada ya uzamifu!? Lakini wewe umeweza kutambua!?
Usitafute vijisababu ku justify makosa ya DIKTETA. Ndege za ATCL hazikuwapo kabla ya Magufuli, kwani tulikuwa hatusafiri?Huna ushahidi wowote ule kwamba alitaka kupata asilimia kumi huko kwa wauzaji. Alifufua shirika lililokuwa limejifia miaka mingi kabla hajaingia ikulu angalau kwa hilo tumshukuru.
Sheria ya manunuzi ina umuhimu gani kulinganisha na kurudisha heshima ya Taifa iliyokuwa imepotea muda mrefu?.
Sheria ya manunuzi hailingani na namna TWIGA wetu anavyoendelea kuipaisha bendera ya Tanzania kila anapoonekana hewani huko nje.
Afadhali yeye corrupt to the core na kazi inaonekana, Afrika imejaa wapigaji wanaoingia na kuondoka ikulu bila ya kazi kuonekana.
TWIGA ni nembo ya nchi lazima ataruka hata kama kina fast jet wapo sokoni. Hakuna taifa lisilokuwa na shirika lake la ndege, zipo sababu nyingi za kuwa nalo.Usitafute vijisababu ku justify makosa ya DIKTETA. Ndege za ATCL hazikuwapo kabla ya Magufuli, kwani tulikuwa hatusafiri?
Kwanza ilikuwa cheap kusafiri na Fast Jet kwa Tsh 90,000 Mwanza -Dar kuliko sasa ATCL kwa Tsh 300,000+
Ila Steven Joel Ntamusano bado uko kwenye blanketi la Mwendazake maana hata CAG ameripoti kuwa ATCL ni loss making parastatal kwenye 2020/21 report.
Kwani huyo Twiga inayemtamani hawezi kuruka kwenye private company kwa makubaliano ? Kama ilivyo British Airways au American Airways?
Ni Ben Saanane ndiye aligundua,
Kumbe unajua kila kilichofanyika kafungue kesi basi,Kijana Ben alikamatwa na watu "wasiojulikana" (hawa walikuwa ni kikundi cha kuteka na kuua chini ya Makonda) wakamtesa sana, wakamhamisha sehemu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kumfikisha kwa Magufuli lakini alibaki na msimamo wake kuwa PhD ya Magufuli siyo halali. Hatimaye alikufa katika vyumba vya mateso na maiti yake ikapelekwa MNH kwa jina tofauti.
Nenda UDSM kwenye maktaba ya kitivo cha kemia, ukajaribu kuazima Thesis ya Magufuli, nakuhakikishia hutopewa. Imeondolewa, ni aibu.
Supervisor wa Thesis Magufuli, ambaye ni Profesa jina linaanza na "Bu", alipewa Uwenyekiti wa Bodi mbalimbali baada ya Magufuli kupata uRais. Na Mkuu wa Idara aliyekuwapo wakati huo alikuwa ni mlemavu wa miguu jina lake linaanza na "Prof Md" alipewa Ukatibu Mkuu wa Wizara
Umesahau na kushambuliwa kwa LissuKama alivyosema msemaji wa serikali Mobhare Matinyi kwamba huwa wanasoma mijadala yote muhimu ya humu jamiiforum; basi tunaomba kama watanzania tupatiwe majibu ya swali hili maana sio jambo la kawaida.
Mods msifute huu uzi wala kuunganisha maana unaenda sambamba na kauli ya Mobhare Matinyi juu ya JAMIIFORUM.
Chuo kinagunduaje wakati kimekuwa corrupted? Mbona wewe eliakeem kichwa chako kigumu kuelewa? Hivi umesoma hata O-Level wewe? Ulipasi vipi mitihani?Chuo su taasisi isigundue, halafu Ben ndiye aje kugundua? Wakati taasisi zina plagiarism control systems and mechanisms.
Kesi za jinai hufunguliwa na Jamhuri, kama hujui hilo wewe ni kengeKumbe unajua kila kilichofanyika kafungue kesi basi,
Kijana Ben alikamatwa na watu "wasiojulikana" (hawa walikuwa ni kikundi cha kuteka na kuua chini ya Makonda) wakamtesa sana, wakamhamisha sehemu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kumfikisha kwa Magufuli lakini alibaki na msimamo wake kuwa PhD ya Magufuli siyo halali. Hatimaye alikufa katika vyumba vya mateso na maiti yake ikapelekwa MNH kwa jina tofauti.
Nenda UDSM kwenye maktaba ya kitivo cha kemia, ukajaribu kuazima Thesis ya Magufuli, nakuhakikishia hutopewa. Imeondolewa, ni aibu.
Supervisor wa Thesis Magufuli, ambaye ni Profesa jina linaanza na "Bu", alipewa Uwenyekiti wa Bodi mbalimbali baada ya Magufuli kupata uRais. Na Mkuu wa Idara aliyekuwapo wakati huo alikuwa ni mlemavu wa miguu jina lake linaanza na "Prof Md" alipewa Ukatibu Mkuu wa Wizara
AZORY.......And the list goes on;
Lissu assassination attempt.
Azory Gwanda abduction.
Chuo kinagunduaje wakati kimekuwa corrupted? Mbona wewe eliakeem kichwa chako kigumu kuelewa? Hivi umesoma hata O-Level wewe? Ulipasi vipi mitihani?