#COVID19 Ni sahihi Humphrey Polepole kuonesha Msimamo wake wa kutochanjwa?

#COVID19 Ni sahihi Humphrey Polepole kuonesha Msimamo wake wa kutochanjwa?

MISULI

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
7,843
Reaction score
5,476
Tumeona Viongozi mbalimbali wakitumia hiari yao kuhamasisha watu wakachanjwe na wengine wamekua sehemu ya kuchanjwa kama kuonesha mfano.

Polepole Naye yupo na msimamo wake wa kutochanjwa na ameenda mbali akihimiza watu wazingatie vyakula na vilevile kahoji kwanini hii chanjo haioneshi muda sahihi wa kufanya kazi tofauti na chanjo zingine.

Polepole yupo sahihi, ikionesha tayari wakubwa zake ambao ni Rais na mwenyekit wake wanaipigia chapuo chanjo?

1ED8B8A8-BF59-49FD-8EF0-99828337BA49.jpeg
 
Mkuu sukuma gang woote na mataga woote hawako pamoja na Mama na wanamuonesha dharau waziwazi kabisa...

Lakini subiri...dawa yao ishaiva.

Kipindi cha dictator hakuna Taga lolote lilikuwa na uwezo wa kunyanyua pua yake..hata kwa matukio ya aibu yalokuwa yakifanywa nae..
Subiri.
 
Rais Samia awashughulikie hao kenge haraka ni wahujumu wa wazi kwa jitihada zake, awaweke pembeni kabisa na utawala wake na wala haiwezi kuwa nongwa maana hata Magufuli alifanya hivyo kwa baadhi ya wana CCM wenzake mfano ni Membe.
 
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri yabMuunganon wa Tanzania krshasema chanjo ni hiari na hata Mheshimiwa Waziti Mkuu alisema the same kwamba chanjo ni hiari. Kwangu mie Mh. Gwajima na Mh. Polepole wotr wako sahihi. Nyie wachonganishi msipewe nafasi.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Wafumbe midomo yao basi... Kwani tumewaomba waongee... Nonsense.

Huchanji piga kimya. Kelele za nini!??
 
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri yabMuunganon wa Tanzania krshasema chanjo ni hiari na hata Mheshimiwa Waziti Mkuu alisema the same kwamba chanjo ni hiari. Kwangu mie Mh. Gwajima na Mh. Polepole wotr wako sahihi. Nyie wachonganishi msipewe nafasi.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Asanteeee. Well said comrade. Gwajima na Polepole wapo sahihi, wanatumia haki yao ya "HIARI". Na kwa wale akina Kigwangala wanaochoma chanjo pia wapo sahihi ni hiari yao,

IKIWA NI HIARI KWELI TUSILAZIMISHE MAAMUZI YA MTU MMOJA YAWE YA WOTE, NA IKIWA NI HIARI ANAYESIMAMA KUHAMASISHA CHANJO YUPO SAHIHI NA ANASIMAMA KUSEMA SHIDA YA CHANJO PIA YUPO SAHIHI. KWANN TULAZIMISHANE KUONGEA LUGHA MOJA? WHAT'S WRONG??
 
Very Well Said. Thank You 🙏🏼
 
Back
Top Bottom