#COVID19 Ni sahihi Humphrey Polepole kuonesha Msimamo wake wa kutochanjwa?

#COVID19 Ni sahihi Humphrey Polepole kuonesha Msimamo wake wa kutochanjwa?

Usie na akili ni wewe,

Mwenye kit wa chama ni samia na kiongoz wa serikali ni samia,ameshatoka hadharan na kutamka waz waz kuwa wameamua kwenda na chanjo Ila ni hiyar kwa mwenyekutaka,sasa unataka msimamo mwingine up zaid ya huo?

Kama gwajima na hao wanaomfuata hawataki chanjo ni Sawa,kwan wamelazimishwa??kelele ni za nini??
Kama ni hiari si uende ukachanjwe!?.. Gwajima akipiga kelele kuhusu ubovu wa chanjo zenu feki wewe inakuuma nini!?, Wakionekana akina Samia na IGP wanachanja kwa maigizo mnakenua meno. Nyie ni WAPUMBAVU.. FULL STOP.
 
Sio sahihi! Angesikiliza chama chake kinasemaje! Angeheshimu uteuzi aliopewa na chama
 
Ndio huyu alikuwa anampigia simu usiku kwa Mambosasa halafu mambosasa anaitikia maelekezo mkuu

ndio huyuhuyu hata kihongosi alishawai kumuamkia on air kwenye vipindi vyake vya usiku .
nilishawahi kufatiliaga nikayaona ni ya kipuuzi sana na usumbufu tu kwa watu usiku
 
binafsi sijaona alipokosea bwana slow...hayo ni maoni yake tu....
 
Back
Top Bottom