Dont you be blind for what was going on during mwendazake era,ilikua anachokitaka yeye ni lazima kiwe,kama hutak basi toka kwenye serikali yake au umesahau??nan alikuwa na jeuri ya kumpinga,now he's gone...
Ishu iliyopo ni kuwa usiwahamasishe watu kutochanja kama hutak kuchanjwa,serikali now inakuja na hoja ya kiafya kuwa kuchanja ni muhim Ila ni hiyari,sasa kama mtu hutak kuchanja basi usihamasishe watu wasichanje Ili hali hao watu wameshaambiwa ni hiyari,Ila pia kumbuka serikali Ina dhamana ya kuwahamasisha wananchi wake Ila gwajima na pole pole hawana dhamana hiyo,wao siyo serikali