UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Kumbe unajua kwamba wanasiasa wote ndio walivyo ni wanafki.Na huo unafiki wao tuliusema wakati ule, na hata sasa tumeendelea kuwaambia kuwa kumpokea Lowassa ilikuwa ni upuuzi kama upuuzi mwingine.