MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,843
- 5,476
- Thread starter
- #21
Mh Rais kaacha watu wachague. Sioni shida ya wanaounga mkono kuonesha hadharani misimamo yao na hata wale wanaopinga pia. Imekua dhambi kusema sitachanjwa hadharani wakati ni haki na uhuru wa mtu kuchagua atakacho.Imekua haki mtu kunadi ubora na umuhimu wa chanjo lkn kosa kubwa sana mtu kuelezea mattz ya chanjo na habari zote hasi kuhusu chanjo. Kuna tatizo sehemu.Asanteeee. Well said comrade. Gwajima na Polepole wapo sahihi, wanatumia haki yao ya "HIARI". Na kwa wale akina Kigwangala wanaochoma chanjo pia wapo sahihi ni hiari yao,
IKIWA NI HIARI KWELI TUSILAZIMISHE MAAMUZI YA MTU MMOJA YAWE YA WOTE, NA IKIWA NI HIARI ANAYESIMAMA KUHAMASISHA CHANJO YUPO SAHIHI NA ANASIMAMA KUSEMA SHIDA YA CHANJO PIA YUPO SAHIHI. KWANN TULAZIMISHANE KUONGEA LUGHA MOJA? WHAT'S WRONG??