#COVID19 Ni sahihi Humphrey Polepole kuonesha Msimamo wake wa kutochanjwa?

Lakini anatumia hiyari yake sawa na wale wanaotumia hiyari hiyo kutoa elimu kwa nini chanjo ni muhimu.

Ni kweli, ila yeye alikuwa kwenye serikali ya dhalimu ya kutoheshimu hiyari ya watu. Wakati wapinzani wakihamasisha kuwepo kwa chanjo, kutolewa taarifa za ugonjwa, alikuwa akieneza upotoshaji kuwa wapinzani ni mawakala wa mabeberu. Leo hii serikali iliyopo imekubali chanjo anataka iwe hiyari kwenye misimamo!? Toka lini amekuwa muumini wa hiari? Au unafika ndio nguzo yake?
 
Mh Rais kaacha watu wachague. Sioni shida ya wanaounga mkono kuonesha hadharani misimamo yao na hata wale wanaopinga pia. Imekua dhambi kusema sitachanjwa hadharani wakati ni haki na uhuru wa mtu kuchagua atakacho.Imekua haki mtu kunadi ubora na umuhimu wa chanjo lkn kosa kubwa sana mtu kuelezea mattz ya chanjo na habari zote hasi kuhusu chanjo. Kuna tatizo sehemu.
Mbona kipindi cha yule mtawala muovu hakujitokeza useme aache iwe hiyari, au ulikuwa unaona ni sawa yeye kushurutisha msimamo wake? Huyo Polepole kwakuwa ni mnafiki, majizi menzake ya kura yamkamate kwa nguvu na kumchoma sindano ya sumu.
 
Tumeona Viongozi mbalimbali wakitumia hiari yao kuhamasisha watu wakachanjwe na wengine wamekua sehemu ya kuchanjwa kama kuonesha mfano.

Polepole Naye yupo na msimamo wake wa kutochanjwa na ameenda mbali akihimiza watu wazingatie vyakula na vilevile kahoji kwanini hii chanjo haioneshi muda sahihi wa kufanya kazi tofauti na chanjo zingine.

Polepole yupo sahihi, ikionesha tayari wakubwa zake ambao ni Rais na mwenyekit wake wanaipigia chapuo chanjo?View attachment 1883817

View attachment 1883818
Deceased mentality 🤣🤣🤣
 
HUJUMA YA WAZI... WOTE HAO NI MASALIA YA MWENDAZAKE
Kachanje!!! Hasa kama unauhakika kuwa hata ule vyakula vya namna gani vya kuimarisha kinga zako za mwili, mwili wako hauko tayari kukabiliana na maradhi. Lakini kama unajua mwili wako unauwezo wa kukabiliana na maradhi bila shida yoyote siyo lazima kuchanja.
====
Msiwe wagumu kumuelewa Mtanzania mwenzetu ndugu Humphrey Polepole.
 
Huyu anajisahau Sana anajua kwa kusema hachanji ni watu wangapi amewabadilsha msimamo, na anawaka kwenye risk ya Corona? Polepole kama hujachanji Kaa kimnya usiwabadili walio dhaifu
 
Hakuna alipokosea, wenye hofu na wanaotaka ule msemo wa kifo cha wengi ni harusi udhihirike ndio wanaohofia misimamo ya watu wengine, mtanzania mwenzangu fanya kile unachokiamini bilavkuangalia nani anasimama wapi na wewe umesimama wapi.
 
Mkuu sukuma gang woote na mataga woote hawako pamoja na Mama na wanamuonesha dharau waziwazi kabisa...

Lakini subiri...dawa yao ishaiva.

Kipindi cha dictator hakuna Taga lolote lilikuwa na uwezo wa kunyanyua pua yake..hata kwa matukio ya aibu yalokuwa yakifanywa nae..
Subiri.
Hii ni demokrasia mkuu
 
Tumeona Viongozi mbalimbali wakitumia hiari yao kuhamasisha watu wakachanjwe na wengine wamekua sehemu ya kuchanjwa kama kuonesha mfano.

Polepole Naye yupo na msimamo wake wa kutochanjwa na ameenda mbali akihimiza watu wazingatie vyakula na vilevile kahoji kwanini hii chanjo haioneshi muda sahihi wa kufanya kazi tofauti na chanjo zingine.

Polepole yupo sahihi, ikionesha tayari wakubwa zake ambao ni Rais na mwenyekit wake wanaipigia chapuo chanjo?View attachment 1883817

View attachment 1883818
Kama wengine wametumia hiari yao kuunga mkono kwanini yeye asitumie hiari yake kutokuchanja? Na kama anasababu za msingi kwanini asiachwe azitoe ili wale wenyw kusita kama yeye waweze kutumia hiari yao vizuri huku wakiwa na uhakika wa wanachokiogopa?

Democracy ni nzuri ikiwa to your favour but so difficult when its against what you prefer...
 
Ni kweli, ila yeye alikuwa kwenye serikali ya dhalimu ya kutoheshimu hiyari ya watu. Wakati wapinzani wakihamasisha kuwepo kwa chanjo, kutolewa taarifa za ugonjwa, alikuwa akieneza upotoshaji kuwa wapinzani ni mawakala wa mabeberu. Leo hii serikali iliyopo imekubali chanjo anataka iwe hiyari kwenye misimamo!? Toka lini amekuwa muumini wa hiari? Au unafika ndio nguzo yake?
Sijui umeandika vitu gani. Uko busy sana kupambana na Hayati kuliko Utawala uliopo hahahahhah. Habari za Hiari ni serikali imesema na sio polepole. Unataka asitumie hiari, huoni atakua anapingana na serikali yake?Hadi sasa polepole yupo sahihi. Angekua ana kosa kama serikali ingesema ni LAZIMA.
 
Tumeona Viongozi mbalimbali wakitumia hiari yao kuhamasisha watu wakachanjwe na wengine wamekua sehemu ya kuchanjwa kama kuonesha mfano.

Polepole Naye yupo na msimamo wake wa kutochanjwa na ameenda mbali akihimiza watu wazingatie vyakula na vilevile kahoji kwanini hii chanjo haioneshi muda sahihi wa kufanya kazi tofauti na chanjo zingine.

Polepole yupo sahihi, ikionesha tayari wakubwa zake ambao ni Rais na mwenyekit wake wanaipigia chapuo chanjo?View attachment 1883817

View attachment 1883818
Umri wake ni maika mingapi?Je ana magonjwa mengine mwilini mwake?Kama umri less than 50 na hana any underlying condition ana haki si ya kukataa tu chanjo lakini hata kuitukana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sijui umeandika vitu gani. Uko busy sana kupambana na Hayati kuliko Utawala uliopo hahahahhah. Habari za Hiari ni serikali imesema na sio polepole. Unataka asitumie hiari, huoni atakua anapingana na serikali yake?Hadi sasa polepole yupo sahihi. Angekua ana kosa kama serikali ingesema ni LAZIMA.
Kama anaheshimu hiyari asingekuwa sehemu ya ule uchaguzi wa kishenzi chini ya dhalimu, maana watu kuchagua mgombea wa chama fulani ilikuwa ni hiyari yao.
 
Yaani we jamaa kwa kuchanganya files uko vizur. Kwahiyo yeye hatakiwi kuwa na Hiari?
 
Kibanga aka mzee wa VX na majambazi wengine wapo kwenye mhaho.
 
Ni sawa, afya ni suala la binafsi ya mtu kuamua namna ya kuishi ingali havunji sheria za nchi.
 
Back
Top Bottom