Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Lakini anatumia hiyari yake sawa na wale wanaotumia hiyari hiyo kutoa elimu kwa nini chanjo ni muhimu.
Ni kweli, ila yeye alikuwa kwenye serikali ya dhalimu ya kutoheshimu hiyari ya watu. Wakati wapinzani wakihamasisha kuwepo kwa chanjo, kutolewa taarifa za ugonjwa, alikuwa akieneza upotoshaji kuwa wapinzani ni mawakala wa mabeberu. Leo hii serikali iliyopo imekubali chanjo anataka iwe hiyari kwenye misimamo!? Toka lini amekuwa muumini wa hiari? Au unafika ndio nguzo yake?