Huyu alipewa viti maalum, bado ana demka!HUJUMA YA WAZI... WOTE HAO NI MASALIA YA MWENDAZAKE
Misimamo ni kitu chema sana, kuliko kuwa bendera fata upepo, ni jambo jema kusimamia unapoaminiHUJUMA YA WAZI... WOTE HAO NI MASALIA YA MWENDAZAKE
Misimamo mmeanza leo sioo...!??Misimamo ni kitu chema sana, kuliko kuwa bendera fata upepo, ni jambo jema kusimamia unapoamini
Wafumbe midomo yao basi... Kwani tumewaomba waongee... Nonsense.Mheshimiwa Rais wa Jamhuri yabMuunganon wa Tanzania krshasema chanjo ni hiari na hata Mheshimiwa Waziti Mkuu alisema the same kwamba chanjo ni hiari. Kwangu mie Mh. Gwajima na Mh. Polepole wotr wako sahihi. Nyie wachonganishi msipewe nafasi.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Sasa kama wewe unaongea huoni hata wao wana haki hiyo hiyo?Wafumbe midomo yao basi... Kwani tumewaomba waongee... Nonsense.
Huchanji piga kimya. Kelele za nini!??
Asanteeee. Well said comrade. Gwajima na Polepole wapo sahihi, wanatumia haki yao ya "HIARI". Na kwa wale akina Kigwangala wanaochoma chanjo pia wapo sahihi ni hiari yao,Mheshimiwa Rais wa Jamhuri yabMuunganon wa Tanzania krshasema chanjo ni hiari na hata Mheshimiwa Waziti Mkuu alisema the same kwamba chanjo ni hiari. Kwangu mie Mh. Gwajima na Mh. Polepole wotr wako sahihi. Nyie wachonganishi msipewe nafasi.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Ikiwa ni hiari, kwann wewe unahaki ya kueleza upendalo wengine wakieleza ni haramu??? EboWafumbe midomo yao basi... Kwani tumewaomba waongee... Nonsense.
Huchanji piga kimya. Kelele za nini!??
Hakuna tofauti. Unachanja sema Unapata chanjo. Asiyechanja anahaki ya kusema Sitaki Chanjo. Tatizi liko wapi?Wafumbe midomo yao basi... Kwani tumewaomba waongee... Nonsense.
Huchanji piga kimya. Kelele za nini!??
Very Well Said. Thank You 🙏🏼Asanteeee. Well said comrade. Gwajima na Polepole wapo sahihi, wanatumia haki yao ya "HIARI". Na kwa wale akina Kigwangala wanaochoma chanjo pia wapo sahihi ni hiari yao,
IKIWA NI HIARI KWELI TUSILAZIMISHE MAAMUZI YA MTU MMOJA YAWE YA WOTE, NA IKIWA NI HIARI ANAYESIMAMA KUHAMASISHA CHANJO YUPO SAHIHI NA ANASIMAMA KUSEMA SHIDA YA CHANJO PIA YUPO SAHIHI. KWANN TULAZIMISHANE KUONGEA LUGHA MOJA? WHAT'S WRONG??