Miluzi mingi humpoteza mbwa....Maswali ni mengi
Uko serious?Inawezekana ukawa sio sahihi kwa sababu zamani ndio kulikuwa na ndoa . Maisha ya sasa ndio sio applicable sana kutokana na kukosa misingi halisi ya ndoa , kuoa sio lazima ila ni muhimu .
Ukioa single mother , mwajiriwa, aliyeyelewa na mzazi mmoja , kiburi , mwizi, mpenda starehe , hawa wa vikuku, wale wa vigodoro na miziki , na wengine wengi wote ni matatizo hamna ndoa hapo .
Ndio ni kweli .Uko serious?