Kwanza kabisa, hakuna mkosi wowote wa kula mzigo kwenye gari, kikubwa gari iwe na tinted ili kulinda faragha. Tuache mawazo ya kishirikina. Ajali zinatokea kila siku na hazina uhusiano wowote na ngono kwenye gari.
Pili, sio kweli kwamba wanaokula mzigo kwenye gari hawana hela ya lodge. Kuna raha yake kula mzigo kwenye gari! Ni sawa useme wanaoenda kuangalia mpira bar hawana tv nyumbani.
Tatu, watanzania tujifunze kufuata mambo yetu, tuachane na mambo yasiyotuhusu! Asilimia 90 ya wabongo wakiona gari inatikisika lazima wakachungulie wanataka kuona ni nini kinaendelea humo ndani! Yanakuhusu? Jifunze kufuata mambo yako..!!
Asanteni.