mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Aseme amen!🤣Mwakani majira kama haya utakuwa na gari lako kali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aseme amen!🤣Mwakani majira kama haya utakuwa na gari lako kali
Kwani godoro lako 5×6 ulowahi kulalia then ukaamua liwe godoro la wageni, baada ya kununua 6×6 Wazazi wako hawawezi kulilalia?Kwa biyo unakula kwenye gari ambalo hata wazazi waweza kupanda?
Kama upo under 30 niite uncle tu mkuu, japo humu jf wote ni wakuu haijalishi umri.
🤣🤣🤣🤣na uzee huu lazima ujaribu vingi.hahahaha usha do kwa gari
Nina godoro za wageni, godoro la chumbani kwangu hawezi kulalia mwingineKwani godoro lako 5×6 ulowahi kulalia then ukaamua liwe godoro la wageni, baada ya kununua 6×6 Wazazi wako hawawezi kulilalia?
Kwa hiyo game ipigwe kwa silent mode!?Waende mdogomdogo!Kama gari inatikisika ni kosa
Hujaelewa swali. relax kwanza, then ndo unijibuNina godoro za wageni, godoro la chumbani kwangu hawezi kulalia mwingine
Safi sana kauzi kamefungwa
Hakika limekuwa jambo la kawaida lakini halikuwa la kawaida. Ila kwa vile ni magari yao huwezi kuwapangiaWanajamvi
Siku hizi limekuwa kama jambo la kawaida
Safi sana kauzi kamefungwa
Vizuri sana, maisha yaendelee, alafu nakuja kukutolea mahaliN jitihada zangu🤣🤣
🥺🥺Vizuri sana, maisha yaendelee, alafu nakuja kukutolea mahali
Yaani gharama zote nitalipa mimiVizuri sana, maisha yaendelee, alafu nakuja kukutolea mahali
Am taken....kwanza umeacha kuogopa mademu😁😁Vizuri sana, maisha yaendelee, alafu nakuja kukutolea mahali
Nimeacha ila siwezi kutongoza majitu ambayo hayajulikani jinsiaAm taken....kwanza umeacha kuogopa mademu😁😁
Vip...Kuna mtu umemuelewa Humu...unatamani umtongoze...ila una ukakasi juu ya jinsia yake...??Nimeacha ila siwezi kutongoza majitu ambayo hayajulikani jinsia