Ni sahihi kufanya mapenzi kwenye gari?

Ni sahihi kufanya mapenzi kwenye gari?

Wanajamvi

Siku hizi limekuwa kama jambo la kawaida kukuta watu wamepaki gari wanafanya mapenzi humo ndani.

Hii imekaaje?Ni sahihi kweli?

Pia soma: Sio ustaarabu, heshima wala uungwana kufanya mapenzi ofisini au ndani ya gari
Wote uliowahi kuwaona ni wagonjwa wa akili,hivyo pindi uonapo hao wagonjwa wa akili toa taarifa katika vyombo husika ili weweze kupati tiba ya ugonjwa wa akili.Na pia hujataja ni maeneo gani ili uweze kupata usaidizi wa kuwafikisha vituo vya tiba za ugonjwa wa akili.
 
Back
Top Bottom