Ni sahihi kufanya mapenzi kwenye gari?

Ni sahihi kufanya mapenzi kwenye gari?

Kwani ukiwa unaendesha ukafika kwako aftena ukapack gari nje kabla ya kuingia ndani ukawekatu miguu juu ya dashboard , ukapiga quickie moja, yani tuu mkiwa kinguo nguo tu nanii pembeni na zipu tu imefunguliwa
inakuwa mmefanya kwenye gari au tu hapo nyumbani?
Wanasema eti mikosi...🤣🤣
 
Pawe na faragha tu...hilo ni tendo la siri...pasiwe na uwezekano wa mtu yoyote kuhisi chochote.
Shida usafi baada ya tendo..mazingira ya gari yako limited..kuna harufu ya jasho, watu mnatanua maungo yenu huko, viharufu vinaibuka...
Mazingira ya gari yako limited sana...
 
Back
Top Bottom