Ni sahihi kufanya mapenzi kwenye gari?

Ukiona gari limepaki halafu linanesanesa usidhani linasukumwa na upepo kama bendera bali fahamu kuwa watu wapo shughulini
 
Ukiona gari limepaki halafu linanesanesa usidhani linasukumwa na upepo kama bendera bali fahamu kuwa watu wapo shughulini
MTu unaweza kumiliki gari lkn lodge huwezi kulipia?
Ni ujinga flani
 
Ni mambo yenu lakini ni uchafu mkubwa.
Kwenye sex kuna mengi, unaweza kumpa mtoto wa watu kitu kitamu akakojoa kupitiliza na kulowanisha sehemu kubwa ...huu ni uchafu.

Pili gari halina miundombinu mizuri kwa usafi.
Tuache ujinga huu
 
Kama kweli kuzini ni dhambi na Mungu anachukia dhambi basi watu tungebarehe tukishaoa tu. Na tungesimamisha kwa wake zetu tu tena hasa hasa siku za kutia Mimba tu.

Mateso yote haya ya nini sasa kama sio Propaganda? Shitukeni.
 
Ni mambo yenu lakini ni uchafu mkubwa.
Kwenye sex kuna mengi, unaweza kumpa mtoto wa watu kitu kitamu akakojoa kupitiliza na kulowanisha sehemu kubwa ...huu ni uchafu.

Pili gari halina miundombinu mizuri kwa usafi.
Tuache ujinga huu
Hayo yote hata kitandani yanatokea kwahiyo hakuna cha ajabu. Inaakuaje kwenye gari uite ni uchafu halafu chumbani sio uchafu? Gari ni yangu na nikimaliza shughuli zangu nasafisha vizuri sawa na ninavyoaafisha chumba, tatizo liko wapi? Fuateni mambo yenu tuacheni. Asante.
 
Sawa, tombane..ni salama
 
Tulikubalian kambi popote,mind your own business kwani wanatumia mapenzi yako?,kwani wamevunja sheria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…