Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Amerika sii bongi na bongo sii amerikaRais mteule wa Marekani Donald Trump, bado kuhapishwa kwa ajili ya kuanza kazi yake ya urais katika nchi hiyo; lakini kuna vikao huwa vinafanyika kati ya yeye na viongozi mbali mbali kutoka nchi tofauti tofauti, kuhusu maazimio ya kiutendaji wa nchi hizo na Marekani.
Swali langu, ni sahihi kufanya vikao hivyo kabla ya kuhapishwa? Je na kwa nchi zingine huwa iko hivyo?
Marais wastaafu wote wa US hupewa briefings za usalama japo sio kwa asilimia mia,Katiba na taratibu zao zinaruhusu,ndio maana kwasasa Trump anapewa briefings zote za Usalama wa Marekani na Dunia kwa ujumla sawa anazopewa Rais Biden.
Na kakudanganyaMarais wastaafu wote wa US hupewa briefings za usalama japo sio kwa asilimia mia,
Mfano hata Obama anapewa briefing pia.
Kuhapishwa ? Ni kuapishwa.Rais mteule wa Marekani Donald Trump, bado kuhapishwa kwa ajili ya kuanza kazi yake ya urais katika nchi hiyo; lakini kuna vikao huwa vinafanyika kati ya yeye na viongozi mbali mbali kutoka nchi tofauti tofauti, kuhusu maazimio ya kiutendaji wa nchi hizo na Marekani.
Swali langu, ni sahihi kufanya vikao hivyo kabla ya kuhapishwa? Je na kwa nchi zingine huwa iko hivyo?
Hujui kitu wewe.Na kakudanganya