Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Rais mteule wa Marekani Donald Trump, bado kuapishwa kwa ajili ya kuanza kazi yake ya urais katika nchi hiyo; lakini kuna vikao huwa vinafanyika kati ya yeye na viongozi mbali mbali kutoka nchi tofauti tofauti, kuhusu maazimio ya kiutendaji wa nchi hizo na Marekani.
Swali langu, ni sahihi kufanya vikao hivyo kabla ya kuapishwa? Je na kwa nchi zingine huwa iko hivyo?
Swali langu, ni sahihi kufanya vikao hivyo kabla ya kuapishwa? Je na kwa nchi zingine huwa iko hivyo?