Ni sahihi kulea mtoto wa Kambo?

Kumbuka hapo napiga mke wa mtu maana sina mke..
Remember dat..
 
Reactions: Tsh
Ninachotaka ni access juu yake maana pesa huisha na kututesa wanaume ile mbaya.
Nashukuru kwa silaha niliyopewa maana haiishi namove nayo kila mkoa.
Na nikipita naacha lawama tu.
Ukinyimwa nguvu unapewa mbio.
Hujamsikia Ney kwenye bachela?
Na ukimpata niliemwacha huzibi pengo..
Unadhani kila mtu anajali kuziba pengo basi?
Mwanzoni mwa mwaka huu nilikuwa na EX wa mwamba japo sio kingono wala nini lakini katika appearance tu ni hivi Ney kaacha pengo kubwa kwa huyu sista wangu yaani.
Unadhani sababu halijazibwa hatoi kwa vijana wa hovyo?
 
Ukinyimwa nguvu unapewa mbio.

Unadhani kila mtu anajali kuziba pengo basi?

Unadhani sababu halijazibwa hatoi kwa vijana wa hovyo?
Ndio maana baada ya seleka zote wanamrudia aliyeacha pengo..
 
Mimi hapo kwenye kupima naona wote wanaingilika tu so sina ile kutofautisha mkuu
Malaya ni wengi sana mkuu. Ila wanawake waadilifu wapo, mume ana kisukari na mama wa watu anamtunza wala hujawahi sikia akikitembeza.
 
Halafu hawaachi kugawa pia hata baada ya pengo kuzibwa sababu wanapenda pesaaaa.
Shida ni kwamba wewe unatoa pesa mimi ya kwangu nabaki nayo najitunza
Ni vile sina tu tabia ya kula pesa zao ningewaumiza sana hawa mamaza..
 
Malaya ni wengi sana mkuu. Ila wanawake waadilifu wapo, mume ana kisukari na mama wa watu anamtunza wala hujawahi sikia akikitembeza.
She is decsent untill the secrects are patched by your eyes
 
Reactions: Tsh
Shida ni kwamba wewe unatoa pesa mimi ya kwangu nabaki nayo najitunza
Ni vile sina tu tabia ya kula pesa zao ningewaumiza sana hawa mamaza..
Unajua kwanini mwanaume anatoa pesa? Hataki kuliliwa, sijui kuacha alama. Anataka kumwingilia kwa malipo baasi.

Sasa mfano mm na umri wangu huu na hawa vijana wakubwa, nitake kuacha alama kwa mwanamke ya nini zaidi ya starehe ya muda mfupi?
 
She is decsent untill the secrects are patched by your eyes
Hizi ni curiosity tu za ujana. Ukishafika 50's na mwanamke wako ni mtu mzima na hajaonyesha dalili za umalaya hutozijali.

Halafu mkuu, tunaaribu mada ya watu. Tumetoka nje kabisa ya mada.
 
Unajua kwanini mwanaume anatoa pesa? Hataki kuliliwa, sijui kuacha alama. Anataka kumwingilia kwa malipo baasi.

Sasa mfano mm na umri wangu huu na hawa vijana wakubwa, nitake kuacha alama kwa mwanamke ya nini zaidi ya starehe ya muda mfupi?
Hapo ndio mnajiokotea point eti
Lakini kama umehusisha umri sawa.
 
Reactions: Tsh
Ninalea watoto wa namna hiyo mapacha.
Ninalea watoto wa namna hiyo mapacha. Lakini sijawahi kumwona baba yao wala watoto tangu kuzaliwa hawajawahi mwona baba yao.

Ninaamini kama baba yao angekuwepo nisingelea. Nawasilisha.
 
Hizi ni curiosity tu za ujana. Ukishafika 50's na mwanamke wako ni mtu mzima na hajaonyesha dalili za umalaya hutozijali.

Halafu mkuu, tunaaribu mada ya watu. Tumetoka nje kabisa ya mada.
Kwan mada inahusu nini mkuu?
Si malaya alizaa halafu mkulungwa akayakanyaga akaoa kwa kuwekeana masharti na malaya akidhani wana ufikiri sawa??
Malaya kamisi vya uvunguni kwa muhuni anatumia kichaka cha mtoto kwenda kuliwa na muhuni.
Kaona kule atakuwa anabanwa na mke mwenzie na wakati ana kwake so anataka ahamishie mechi kwake kwa kigezo cha kuleta mtoto..
Si ni hivyo au kuna kingine Tsh ?
 
Reactions: Tsh
Kwan mada inahusu nini mkuu?
Si malaya alizaa halafu mkulungwa akayakanyaga akaoa kwa kuwekeana masharti na malaya akidhani wana ufikiri sawa??
Hahaha.
Malaya kamisi vya uvunguni kwa muhuni anatumia kichaka cha mtoto kwenda kuliwa na muhuni.
Kaona kule atakuwa anabanwa na mke mwenzie na wakati ana kwake so anataka ahamishie mechi kwake kwa kigezo cha kuleta mtoto..
Si ni hivyo au kuna kingine Tsh ?
Hahaha, no comment boss.
 
Hivi vijana wanaijua tafsiri ya kuoa lakini?
Hebu mkuu naomba unipe tafsiri ya kuoa kwanza kwa faida ya wengi humu..
Binafsi ninachoona, kuoa haina faida sana ujanani, ina faida zaidi uzeeni kuliko ujanani.

Unapooa kuna milango unamfungia mwanamke, sasa kuhakikisha hiyo milango haifunguki ni mtihani kidogo.

Ila mara nyingi, kadri miaka inavyokwenda, ndivyo umuhimu wa hiyo ndoa unavyoonekana na kuongezeka na ndivyo ugumu wa kuachana unavyoongezeka kutegemeana na aina ya mke uliye naye.
 
Mpaka uwe na roho nzuri au ni Mchamungu! Kama wewe una roho nzuri au ni Mchamungu unaweza kumlea ili mradi baba yake awe analeta matunzo!
Lakini kama una roho mbaya,toa pesa ya matunzo ya mtoto tu lakini usioe!
Mkuu Baba mtoto Hatoyama matunzo ya mtoto ata siku moja kwasababu mtoto atakua sehemu salama.
 
Itoshe kusema hivi mwanaume anatakiwa aoe akiwa na miaka 32 and above na aoe mwanamke aliyemzidi tofauti ya miaka kumi mpaka kumi na tano over.
Huwezi kuinguza misingi yako kwa mtu ambae mko rika moja.
Yaani wewe una miaka 25 unaoa binti ana miaka 20, 21, 22, 23, 24 au mmelingana hawezi kukusikiliza na mtafumuana sana hapo hakuna ndoa bali ni washikaji wameamua kusogezana ili wawe karibu waviziane kutafuta sababu za kuzikana mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…