PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Siyo kirahisi hivyo mkuu. Makosa mengi kwenye mahusiani huingilia kwenye ubinaadam.Sasa tatizo ni nini kama kipato kipo na umemtaka mama yenye mtoto? Weka ndani, muongezee watoto wengine wa4, lea.
Akileta umalaya wake mtreat kama malaya wanavyo stahili kufanywa na watoto wajue kabisa kuwa mama yao malaya tu ndo maana wameshindwana na mzee.
Akijiheshimu mpe heshima yake kama mwanamke. Sisi ni wanaume, kuumbwa mwanaume ni bonge moja la zawadi, option zipo kibao, sioni sababu ya kujifungia ndani ya box.
Huyo ni mtoto wa watu, wenye mtoto utawapa access ya kuanza kuja kwako, na bonds zitaendelea wakiwa lolote kwao mke wako lazima aende sababu mtoto wako pia atatakiwa kwenda.
Kumbuka baba wa mtoto hajasema kashindwa kulea, hivyo akitaka kumuona mtoto wake itabidi wewe na mke wako muamze kupangiana zamu ya kumpelekea mtoto wake, na kwakuwa nyumbani tayari mahusiani ya digi na mke wa jamaa yatakiwa yameshaingia doa, itabidi muwe mnampelekea mtoto wake sehemu atayowaelekezeni, kama ni beach au popote