Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Ni SAHIHI ila tatizo baba yake yupo na sio kwamba hajiwwezi au kamkataa mtoto wake hapana. Ila ni wasiwasi WA mama yake kuwa mtoto wake anateseka Kwa baba yake Bora akae naye mwenyewe.
Wanakudanganya.
Huyo Mtoto hajatelekezwa na Baba yake ili wewe ndîo umlee.
Mama yake ndîo anamng'ang'ania ili aishi naye Karibu. Hivyo ametafuta sababu ya kumpa Mzazi mwenziwe sababu mbaya ili amchukue
Mwambie kama anateseka ampeleke Mahakamani
Kûna Sheria za Watoto na Haki zào.
Kama yupo serious na kweli anateseka ataenda