GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Hatakufa, lakini unafikiri atakuchukuliaje siku akigundua kuwa ulimlisha "haramu" kwa makusudi?Kwani akila atakufa? Aje na nyama yake asilete masharti nyumbani kwa watu.
Kwa hapa Tanzania hawana mashaka kwa sababu utaratibu wa uchinjaji uko wazi.Mbona wanakula katika migahawa na mahoteli pasipo hata kukaribishwa sembuse kuambiwa imechinjwa na Mfuasi wa dini ipi
Kwani huwa wanauliza hata aliyechinja ni nani?
Na katika mabucha ya kisasa ambayo wanyama wanachinjwa kwa Mashine, pia hawali?
Nani alisema Mkristo hatakiwi kuchinja?Kwann uchinje..? Wakat unajua kbsaa wa kristo haitakiw kuchinja. ?
Kwa nini wasichinje? Mbona wanachinja daily?Kwann uchinje..? Wakat unajua kbsaa wa kristo haitakiw kuchinja. ?
Hata kuku ninayetaka kumla mimi na familia yangu nikamtafute Ustadhi?Kwann uchinje..? Wakat unajua kbsaa wa kristo haitakiw kuchinja. ?
Muislam anaruhusiwa kula alichochinja asiyekuwa Muislam. Ila tu mchinjaji awe amechinja kweli. Wasio waislam wana tabia ya kuwapiga wanyama au kuku wanamtumbukiza kwenye maji moto anakufa kisha wanaanza kumkata kata. Muislam hali kibudu tu, kitu ambacho hakikuchinjwa. Kama umechinja vizuri kabisa yafaa kula.Kuheshimu imani ya mtu, hasa katika nchi isiyo na dini, ni suala nyeti sana. Ndiyo maana Watanzania wengi wanapotaka kufanya sherehe, kama si Waislamu, huhakikisha kuwa mchinjaji wa nyama itakayotumika ni Muislamu.
Lakini itakuwaje ikiwa wewe si Muislamu na ukatembelewa ghafla na rafiki Muislamu wakati unamla kuku uliyemchinja mwenyewe?
1. Utamkaribisha kujumuika nawe pamoja na kuwa unajua ulichinja bila kuzingatia imani ya Kiislamu?
2. Utamjulisha ukweli kuwa ulimchinja wewe mwenyewe ili aamue mwenyewe?
3. Utamwambia asubirie umwandalie cha kwake?
Upi utakuwa uamuzi wa busara?
Kuchinja n Muslim anachinja.. mbona ipo hii kbsaa kaka. hujawah kwenda machinjion?Kwa nini wasichinje? Mbona wanachinja daily?
Hizi dini za kuletewa tuwe nazo makini sana
Kwan huna rafik/jiran akachinja ?Hata kuku ninayetaka jumla mimi na familia yangu nikamtafute Ustadhi?
Nani atamlipa?
Hata mimi sili kibudu ingawa si Muislamu.Muislam anaruhusiwa kula alichochinja asiyekuwa Muislam. Ila tu mchinjaji awe amechinja kweli. Wasio waislam wana tabia ya kuwapiga wanyama au kuku wanamtumbukiza kwenye maji moto anakufa kisha wanaanza kumkata kata. Muislam hali kibudu tu, kitu ambacho hakikuchinjwa. Kama umechinja vizuri kabisa yafaa kula.
Ni sheria gani ya Kiislam inamkataza Mkristo asichinje?Kwann uchinje..? Wakat unajua kbsaa wa kristo haitakiw kuchinja. ?
Kama vile Wakristo wanavyompiga marungu nguruwe kisha wanamchinja. Vile haifai.Hata mimi sili kibudu ingawa si Muislamu.
Nashukuru kwa Elimu. Nishajiuliza hili swali mara nyingi, ingawa sijawahi kuwauliza marafiki zangu wa dini ya Kiislamu.
Kaka dunia hii usi complicate mambo.. mwache Muslim achinje kaka..Ni sheria gani ya Kiislam inamkataza Mkristo asichinje?
Yaani chakula chake umpangie?
Kwani huwa wanamwua kwa kutumia rungu? Nafikiri wanaotumia rungu ni kwa ajili ya kuwafanya kuwa wapole ili wawakate shingo kirahisi.Kama vile Wakristo wanavyompiga marungu nguruwe kisha wanamchinja. Vile haifai.
Na pale hujachinja, kuchinja ni kuua kwa kukata shingo. Ukishampiga marungu akafa inakuwa unamkata kata tu. Hiyo haifai.