Ni sahihi kumkaribisha Muislamu nyama ambayo haikuchinjwa kidini?

Kwa mwislam anae jiekewa wala hawezi kula hata ukimkaribisha
 
Mgh, sio kweli acha kupotosha
 
Nimeshashuhudia nguruwe anapigwa bonge la rungu kichwani, akishatepeta anakatwa katwa.
 
Bila picha huu Uzi Ni batili..
 
Si hivyo tu, muislam anatakiwa kula nyama iliyo chinjwa kwa jina la Allah mkristo hana hivyo.πŸ€”
 
Kuna mmoja alikuja kwangu akatengewa ugali na nyama ya Bata halafu akaanza kuhoji ooh samahani bro kwani nani kachinja huyu Bata nikamwambia Mimi akasema basi Mimi nimeshiba naomba maji tu ninawe nikamwambia jaba lile pale na kikombe kipo hapo nawa tu maana alishafinyanga tongue mbili halafu nikamsindikizia na Aya moja ya suratul qaafiroon
LAKUM DEENUKUM WALIYA DEENI.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sielewi upumbavu mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…