Ni sahihi kumkaribisha Muislamu nyama ambayo haikuchinjwa kidini?

Ni sahihi kumkaribisha Muislamu nyama ambayo haikuchinjwa kidini?

Aya 29 – 32: Majini Wanasikilza Qur’an

Maana.

Na tulipokuletea kundi la majini kusikiliza Qur’an. Basi walipoihudhuria walisema: Nyamazeni! Na ilipomalizwa, walirudi kwa kaumu yao kwenda kuwaonya.
Ko uhusiano upo.
 
Kama vile Wakristo wanavyompiga marungu nguruwe kisha wanamchinja. Vile haifai.
Na pale hujachinja, kuchinja ni kuua kwa kukata shingo. Ukishampiga marungu akafa inakuwa unamkata kata tu. Hiyo haifai.
Je ukimpiga risasi mnyama pori kama Mbogo akafa ndio ukachinja hii nayo ni kibudu ?.......maana kumpata akiwa hai ndio umkate shingo sio rahisi.
 
Je ukimpiga risasi mnyama pori kama Mbogo akafa ndio ukachinja hii nayo ni kibudu ?.......maana kumpata akiwa hai ndio umkate shingo sio rahisi.
Unapompiga Risasi hafi moja kwa moja.. una msogeleaaa/unamuwah unachinja.. hakikisha anakuwa bado hajafa..
 
Unapompiga Risasi hafi moja kwa moja.. una msogeleaaa/unamuwah unachinja.. hakikisha anakuwa bado hajafa..
Sasa hapo Kuna utofauti na wanaoanza kutumia rungu Kisha kumalizia na kuchinja ?
 
Mimi binafsi sili kwenye nyumba yoyote ya Mwislamu na yeye asile kwangu.
 
Kwani wakienda kwenye migahawa na hoteli au kwa wauza mishkaki hua wanauliza aliechinja ni nani 🤔vitu vingine vya kipuuzi kweli
 
Mfugo nifuge mimi then nipangiwe wa kunichinjia? Yeye anakaribishwa kula, akihoji nani kachinja atapewa majibu stahiki.
 
Wahafidhina wa dini mnamasharti magumu zaidi ya wanaoenda kwa waganga wa kienyeji.

Kula chakula nako kumbe kuna masharti namna hii.

Lakini kadiri muda unavyosonga haya yote yatapungua taratibu Mpaka kuisha kabisa.
 
Sio upotoshaji, lete facts.
Muislam kakatazwa kula kibudu tu au kilichochinjwa kwa ajili ya makafara ya kumtolea asiyekuwa Mungu. Labda mizimu.
Katika kuchinja kwa waislamu,kwanza uelekee kibla kwasababu kuchinja ni ibada,pili litajwe jina la Mwenyezi Mungu.
Je asiye muislamu anakamilisha vigezo hivyo?

Kwa nyongeza mnyama anatakiwa achinjwe kwa kisu kikali ili afe chap ili asiteseke sana
 
Back
Top Bottom