Ni sahihi kumkopesha mke wa mtu hela?

Ni sahihi kumkopesha mke wa mtu hela?

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Yani usiku huu mtu anakutafuta kua umkopeshe, ukaribu uliopo sio sana, sasa ikitokea hajalipa au kusumbua namdai vipi? Kuna aliewahi fanya hivi?
 
Mkopeshe kiaina aweke dhamana ya kitu we si unaogopa kupigwa bhana
 
Mwambie akupe cha kuweka dhamana kuepuka usumbufu baadae
 
Wakati wa kumdai ndipo utajua haujui, kwanza atakusevu msumbufu, picha linaanza mmewe ataona simu ya msumbufu inapigwa inakatwa, Mke atajitetea unaforce penzi ambalo umekataliwa ila huelewi! Ili kupoteza maboya ATAKUJA KWAKO NA MAMA MTU MZIMA KUJA KUKUKANYA!

Wao watayamaliza chumbani ila mume atakuvutia bange wewe UNAEMSUMBUA kumpigia mke wake!

Huna leseni ya kukopesha angalia usije potea kama katibu mhutasi!

Ushauri wangu wanapokuja kukopa mwambie Aje na mmewe! Na ajieleze mbele ya mmewe kwanini anakopa kwako na si kwa mwanaume mwingine!

Akijieleza vizuri MPE!
 
Unamkopesha halafu unamuambia ukipata utarejesha,
 
Yani usiku huu mtu anakutafuta kua umkopeshe, ukaribu uliopo sio sana, sasa ikitokea hajalipa au kusumbua namdai vipi? Kuna aliewahi fanya hivi?
Huyo mke wa best yako ana masikhara sana sana.

Usisahau viungo wakati wa ulaji
 
Ndugu yangu, hata siku moja usithubutu kumkopesha mke wa mtu. Mbaya zaidi mke wa rafiki yako, utaonekana mkosaji pale utakapoanza kudai haki yako.
Kuna mke wa rafiki yangu alinifuata nimkope kiasi kidogo cha pesa 100,000. Kosa la kwanza. Ahadi ya kurudisha baada ya mwezi mmoja na akanisisitiza USIMWAMBIE MUME WANGU. Kosa kubwa la pili. Mi na jamaa yake ni marafiki wa muda mrefu sana. Hivi sasa ni mwaka wa pili sijalipwa. Ukimuuliza anasema sina hela. Kurudi kwa mumewe naona ni jau tu ntasababisha tatizo jingine. Nimekubali iwe sadaka tu. Lakini kwa gharama ya ukaribu wetu tuliokuwa nao. Hatuongei tena ni salamu tu kila mtu anapita hivi.
 
Nipo mbioni kula wake wawili wa watu kwa sababu hiyo hiyo, huyu mmoja ni mcharuko kabisa, halafu ni pisi kali, jana usiku nimekutana naye baada ya stori mbili tatu a kaniuliza flani hivi unajua kwa nini niliku kopa na sija kulipa? Nikamwambia hapana, a kaniambia "jiongeze basi" huyu ntamla tu maana hamna namna

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom