Ni Sahihi kumnunulia dada, mama au mama mkwe nguo za ndani?

Watu bhana mnafanya maisha yawe complicated sana, we fika reception mpigie dada au huyo mama yako mpe mtu wa reception awasikilize kujua sizes zao we unapewa mzigo ukiwa packed unafanya kuwapelekea mbona easy. na wala haina tafsiri mbaya
Hawa watu wamekulia vijijini huko wanaanika chupi chini ya kitanda ndio maana
 
Duniani hapa kuna taratbu ambazo kimsingi ni upumbavu na ujinga na ushenzi

ila kwasababu ndio wanaita "tamadunu zetu" ''mila zetu'' desturi zetu'' ''miiko yetu''

basi tunaishi nao hivyo hivyo lakini ni ujinga na upumbavu Hizo sheria za dunia yetu.
 
Suala la kumnunulia mtu nguo za mafichoni tena awe nimtu mkubwa halifai.
Utanunuliaje mke wa mtu kufuli la nyumba yake?
Mama mzazi/mkwe,Dada,shangazi nk hao wote niwake za watu
Usitafute ugomvi na baba yako kwa kumnunuli mkewe mzuka. Wacha hiyooo
 
Size zao unazijua? πŸ˜‚ πŸ˜‚ Tuaanzie hapa.. 😁😁😁😁 Mbonaa vizuri vya kuwanunulia vipo vingi tuu.. Ila sijui inategemea mnaishi kwa style ipi.. πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…