Naombeni ushauri,,,
mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa mwezi mmoja ila mama wa mtoto ana kosa muda wa kumnyonyesha kwa sababu muda mwingine anakuwa kwenye vipindi (lectures).Sasa je,ni salama kiafya kumpa mtoto maziwa mfano (Lactogen 1) tofauti na ya mama kwa muda ambao mtoto atakosa kunyonya?.
Sio kwelilabda kama uchumi hauruhusu,maziwa ya kopo yana viturubisho sawa na ya mama.sina uhakika though..........lol
Sio kweli
Pia mtoto akinyonya maziwa ya mama bila kuchanganya na chochote kwa miezi sita, anakuwa mwenye akili sana, haumwi hovyo hovyo, mchangamfu na mwenye afya nzuri sana. Hawa wanaolelewa na maziwa ya kopo mwisho wa siku wanakuwa kina kaoge, watukutu na spana mkononi magonjwa mara kwa mara.Shida ipo. Pamoja na nutrients kunyonyesha kunatengeneza bonding kati ya mama na mtoto
whyMtoto anapaswa kupata Exclusive breast feeding for six months baada ya hapo anaweza fanya weaning. Si sahihi kumpa mtoto mchanga maziwa ya kopo unless mama yake labda kalazwa ICU kwa mda mrefu au hayupo duniani. Kama mama yuko busy sana anaweza express milk akaacha kwenye bottle akanyweshwa na anayemsaidia kulea mtoto.
sababu gani za kitaalamSuala la breast feeding sio la miaka ya 47 dada. Paediatricians wanasisitiza breastfeeding kwa sababu za kitaalamu
Kinga..vipi vinakosekana kwenye maziwa ya kopo?
Kinga..
Maziwa ya mama yanakinga ya magonjwa mbali mbali kwa mtoto na pia ni muhimu sana kwenye kukuza ubongo wa mtoto tofauti na ya kopo hayana vitu hvyo muhimu ndio maana hata kwenye maziwa ya kopo yote yamekuandikia "maziwa ya mama ni bora kwa mtoto" kama huamini kaangalie kwny kopo unalompa mwanao
Maziwa ya mama yana antibodies i. e During breastfeeding Immunogloblins G pass from the mother to the infants na kumpa mtoto kinga dhidi ya ear infection, diarrhoea, meningitis etc. Maziwa ya mama yako easily digested kuliko maziwa ya kopo na watoto wanaopata maziwa ya mama wako na fewer hospitalizations kuliko ambao hawakupatasababu gani za kitaalam
Nimeeleza
Paediatricians wote duniani wanashauri hivyoPia mtoto akinyonya maziwa ya mama bila kuchanganya na chochote kwa miezi sita, anakuwa mwenye akili sana, haumwi hovyo hovyo, mchangamfu na mwenye afya nzuri sana. Hawa wanaolelewa na maziwa ya kopo mwisho wa siku wanakuwa kina kaoge, watukutu na spana mkononi magonjwa mara kwa mara.
Maziwa ya kopo hayana kinga kwa mtoto tofauti na ya mama
Sawa ni choice but kwa faida ya mwanao nyonyesha. Maziwa ya kopo hayana antibodies na siku mtoto akiuugua kwa sababu ya kinga dhaifu utalazwa na hutasema kulazwa hospitalini ni choicekunyionyesha inabaki ni choice,sio kwamba alternative hamna.
Hata ukiwaachisha si mbaya. Kama ulifanya Exclusive breast feeding kwa miezi sita na ukaendelea kunyonyesha hadi angalau mwaka mmoja, ukiachisha hakuna noma.Wakat mwingine unaach watu waamin wanachoamini,ninapacha sasa wanamwaka na miez 3,nategemea kuwaachisha kunyony ila nikienda kwamadactar kuwauliz nimaziwa gan bora kuwap watoto wananiambia ya mbuzi au ng'ombe,japo weng hunishaur niwanyonyesh mpka mwaka na nusu
Wewe hahaaa umen'gang'ania WHO sijui hiki sijui kile, mbona hao WHO hawajakuambia specific watoto wangapi wamekufa kutokana na kupata maziwa ya Kopo??? Au mtoto gani ameathirika kiakili kutokana na maziwa ya Kopo? Acha uduanzi mkuu, huitendei haki profession yako, lolSawa ni choice but kwa faida ya mwanao nyonyesha. Maziwa ya kopo hayana antibodies na siku mtoto akiuugua kwa sababu ya kinga dhaifu utalazwa na hutasema kulazwa hospitalini ni choice
Ilo jmaa puuzi sana sana alisomi tangu mwanzo wa madaNimeeleza
Mi pia nawaza kuandaa kopo la formula, make maziwa kuna muda yanakata hayatoki, mara yanamimikika sijui kwanini.... Sasa muda ambao hayatoki naona kijana anapata shidadigestive canal ya mtoto si imara, inajitahidi ku'adapt vyakula vinavyopita kwa shida, hivyo kumchanganyishia vyakula inaleta shinda ya kukimeng'enya na zaidi sana mtoto anaweza akaanza kuharisha na utumbo kukwanguka. hivyo ni vyema kuchagua aina moja tu ya maziwa katika umri huo miaka afikishe miezi 6
Acha upotoshaji wewe lols et maziwa yakopo yanafanya watu wawe kama kaoge tangu lini???Pia mtoto akinyonya maziwa ya mama bila kuchanganya na chochote kwa miezi sita, anakuwa mwenye akili sana, haumwi hovyo hovyo, mchangamfu na mwenye afya nzuri sana. Hawa wanaolelewa na maziwa ya kopo mwisho wa siku wanakuwa kina kaoge, watukutu na spana mkononi magonjwa mara kwa mara.
Maziwa ya kopo hayana kinga kwa mtoto tofauti na ya mama
Siyo sahihi kwa mtoto yeyote given that kafikisha miezi sita hapo unaweza kufanya hivyo....Naombeni ushauri,
Mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa mwezi mmoja ila mama wa mtoto anakosa muda wa kumnyonyesha kwa sababu muda mwingine anakuwa kwenye vipindi (lectures).
Sasa je, ni salama kiafya kumpa mtoto maziwa mfano (Lactogen 1) tofauti na ya mama kwa muda ambao mtoto atakosa kunyonya?.
Akiwa mkubwa lazima aokote makopo [emoji23]