uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Naombeni ushauri,,,
mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa mwezi mmoja ila mama wa mtoto ana kosa muda wa kumnyonyesha kwa sababu muda mwingine anakuwa kwenye vipindi (lectures).Sasa je,ni salama kiafya kumpa mtoto maziwa mfano (Lactogen 1) tofauti na ya mama kwa muda ambao mtoto atakosa kunyonya?.
Maziwa ya kopo hayana shida, ila usininunue ya Tanzania, kuna dactari alinishauri mimi binafsi nitumie lactogen ya UK, na kuwa makini na expire dat, sababu kubwa ni kwamba mke hakuwa na maziwa kabisa kwa watoto wangu wote watano! So hawakuwawi nyonya ya Mama yao, ila ni gharama sana!