Ni sahihi kumpa mtoto mchanga maziwa ya kopo badala ya kumnyonyesha maziwa ya mama?

Ni sahihi kumpa mtoto mchanga maziwa ya kopo badala ya kumnyonyesha maziwa ya mama?

Naombeni ushauri,,,
mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa mwezi mmoja ila mama wa mtoto ana kosa muda wa kumnyonyesha kwa sababu muda mwingine anakuwa kwenye vipindi (lectures).Sasa je,ni salama kiafya kumpa mtoto maziwa mfano (Lactogen 1) tofauti na ya mama kwa muda ambao mtoto atakosa kunyonya?.

Maziwa ya kopo hayana shida, ila usininunue ya Tanzania, kuna dactari alinishauri mimi binafsi nitumie lactogen ya UK, na kuwa makini na expire dat, sababu kubwa ni kwamba mke hakuwa na maziwa kabisa kwa watoto wangu wote watano! So hawakuwawi nyonya ya Mama yao, ila ni gharama sana!
 
Shida ipo. Pamoja na nutrients kunyonyesha kunatengeneza bonding kati ya mama na mtoto
Pia mtoto akinyonya maziwa ya mama bila kuchanganya na chochote kwa miezi sita, anakuwa mwenye akili sana, haumwi hovyo hovyo, mchangamfu na mwenye afya nzuri sana. Hawa wanaolelewa na maziwa ya kopo mwisho wa siku wanakuwa kina kaoge, watukutu na spana mkononi magonjwa mara kwa mara.

Maziwa ya kopo hayana kinga kwa mtoto tofauti na ya mama
 
Mtoto anapaswa kupata Exclusive breast feeding for six months baada ya hapo anaweza fanya weaning. Si sahihi kumpa mtoto mchanga maziwa ya kopo unless mama yake labda kalazwa ICU kwa mda mrefu au hayupo duniani. Kama mama yuko busy sana anaweza express milk akaacha kwenye bottle akanyweshwa na anayemsaidia kulea mtoto.
why
 
vipi vinakosekana kwenye maziwa ya kopo?
Kinga..
Maziwa ya mama yanakinga ya magonjwa mbali mbali kwa mtoto na pia ni muhimu sana kwenye kukuza ubongo wa mtoto tofauti na ya kopo hayana vitu hvyo muhimu ndio maana hata kwenye maziwa ya kopo yote yamekuandikia "maziwa ya mama ni bora kwa mtoto" kama huamini kaangalie kwny kopo unalompa mwanao
 
Vitaje.

Ya kopo hayana vitu gani?
 
sababu gani za kitaalam
Maziwa ya mama yana antibodies i. e During breastfeeding Immunogloblins G pass from the mother to the infants na kumpa mtoto kinga dhidi ya ear infection, diarrhoea, meningitis etc. Maziwa ya mama yako easily digested kuliko maziwa ya kopo na watoto wanaopata maziwa ya mama wako na fewer hospitalizations kuliko ambao hawakupata
 
Pia mtoto akinyonya maziwa ya mama bila kuchanganya na chochote kwa miezi sita, anakuwa mwenye akili sana, haumwi hovyo hovyo, mchangamfu na mwenye afya nzuri sana. Hawa wanaolelewa na maziwa ya kopo mwisho wa siku wanakuwa kina kaoge, watukutu na spana mkononi magonjwa mara kwa mara.

Maziwa ya kopo hayana kinga kwa mtoto tofauti na ya mama
Paediatricians wote duniani wanashauri hivyo
 
kunyionyesha inabaki ni choice,sio kwamba alternative hamna.
Sawa ni choice but kwa faida ya mwanao nyonyesha. Maziwa ya kopo hayana antibodies na siku mtoto akiuugua kwa sababu ya kinga dhaifu utalazwa na hutasema kulazwa hospitalini ni choice
 
Wakat mwingine unaach watu waamin wanachoamini,ninapacha sasa wanamwaka na miez 3,nategemea kuwaachisha kunyony ila nikienda kwamadactar kuwauliz nimaziwa gan bora kuwap watoto wananiambia ya mbuzi au ng'ombe,japo weng hunishaur niwanyonyesh mpka mwaka na nusu
Hata ukiwaachisha si mbaya. Kama ulifanya Exclusive breast feeding kwa miezi sita na ukaendelea kunyonyesha hadi angalau mwaka mmoja, ukiachisha hakuna noma.
 
Sawa ni choice but kwa faida ya mwanao nyonyesha. Maziwa ya kopo hayana antibodies na siku mtoto akiuugua kwa sababu ya kinga dhaifu utalazwa na hutasema kulazwa hospitalini ni choice
Wewe hahaaa umen'gang'ania WHO sijui hiki sijui kile, mbona hao WHO hawajakuambia specific watoto wangapi wamekufa kutokana na kupata maziwa ya Kopo??? Au mtoto gani ameathirika kiakili kutokana na maziwa ya Kopo? Acha uduanzi mkuu, huitendei haki profession yako, lol
 
digestive canal ya mtoto si imara, inajitahidi ku'adapt vyakula vinavyopita kwa shida, hivyo kumchanganyishia vyakula inaleta shinda ya kukimeng'enya na zaidi sana mtoto anaweza akaanza kuharisha na utumbo kukwanguka. hivyo ni vyema kuchagua aina moja tu ya maziwa katika umri huo miaka afikishe miezi 6
Mi pia nawaza kuandaa kopo la formula, make maziwa kuna muda yanakata hayatoki, mara yanamimikika sijui kwanini.... Sasa muda ambao hayatoki naona kijana anapata shida
 
Pia mtoto akinyonya maziwa ya mama bila kuchanganya na chochote kwa miezi sita, anakuwa mwenye akili sana, haumwi hovyo hovyo, mchangamfu na mwenye afya nzuri sana. Hawa wanaolelewa na maziwa ya kopo mwisho wa siku wanakuwa kina kaoge, watukutu na spana mkononi magonjwa mara kwa mara.

Maziwa ya kopo hayana kinga kwa mtoto tofauti na ya mama
Acha upotoshaji wewe lols et maziwa yakopo yanafanya watu wawe kama kaoge tangu lini???
 
Naombeni ushauri,
Mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa mwezi mmoja ila mama wa mtoto anakosa muda wa kumnyonyesha kwa sababu muda mwingine anakuwa kwenye vipindi (lectures).

Sasa je, ni salama kiafya kumpa mtoto maziwa mfano (Lactogen 1) tofauti na ya mama kwa muda ambao mtoto atakosa kunyonya?.
Siyo sahihi kwa mtoto yeyote given that kafikisha miezi sita hapo unaweza kufanya hivyo....
 
Back
Top Bottom