Ni sahihi kumuacha Mkeo aparangane na biashara za masafa ya Mbali?

Safi kabisa, sasa hawa wanao pinga hili wanaleta usanii ila wanaugulia machungu mno ndiyo maana hawataki kuzungumzia athari zinazo tokana na hili janga na kauli zao ni kakukatisha tamaa utawasikia "ooh acha apigwe/atafunwe tu ila mimi nataka aniheshimu" ,hakuna mwanaume mwenye akili timamu mwenye fikra kama za hawa wanao tetea hili jambo, hawa watakuwa "wanajidai wanaume".
 
Nimekuelewa Ila haiwezekani mtu akuzuie usifanye kazi au uache kazi kisa ni yeye mume na wewe umtii kwa uoga wake jamani hyo ngumu I will choose my career aisee
 
Mwanamke alitakiwa aolewe akae nyumbani azae watoto alee aangalie mji wake basi
Sasa maisha haya na wanaume wa kibongo wengi kutotunza familia na kunyanyasa wanawake ndio hali imefikia hapaa wanawake wanasaka pesa kama hawana akili nzurii
 
Kwamaono yangu nikwamba,,,nirahisi kumstopisha mke izo mishe endapo ww mwanaume mwenzangu unajiweza kiuchumi,,,yani mambo mengi uwe unayamudu( uwe nampunga wakukizi majukumu kalibia 80%) tofauti nahapo nibusara yamke vs power yamume
 
Angalia mazingira yako,angalia tabia ya mkeo,angalia umuhimu wa hio biashara kwa uchumi wenu alafu angalia moyo wako unasemaje. Fanya maamuzi sahihi.
 
Hapo point ni moja tu. Mke atagongwa, asifanye biashara.
Wanawake punguzeni uhuni, msipokuwa wahuni haya maswali hayataulizwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…