Complex Analysis
JF-Expert Member
- May 9, 2020
- 219
- 417
hahaah pesa ya masharti mpaka ubiduliwe...watu mna manenoKuliko hela ya masharti mpaka ubiduliwe biduliwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaah pesa ya masharti mpaka ubiduliwe...watu mna manenoKuliko hela ya masharti mpaka ubiduliwe biduliwe
Hau enjoy hata tendo lenyewe na nyie wanaume mjue wanawake hufanya shida no feelings at all, ukiwa na hela yako tamu sanahahaah pesa ya masharti mpaka ubiduliwe...watu mna maneno
Unajua ya kuwa kuna mambo ya kiasili ambayo hayabadiliki kwa kisingizio chochote kile ? Mfano wa mambo hayo ni mwanamke kumtegemea mwanaume katika utafutaji, ulinzi na usimamizi.Huo ulikuwa mfano rahisi tu uelewe logic behind argument yangu huwezi kukumbatia vitu vile vile from ages while kila jambo limechange.
Dah!!!,bila shaka wewe ni Ke.,maana si kwa jibu hili.
Safi kabisa, unapo ongelea waze wa zamani unaongelea wazee wa zamani ipi ? Maana hizi harakati za utetezi wa haki sawa zilianza karne ya 17,18 na ikashamiri hasa katika karne ya 19 na hasa baada ya kushamiri suala la viwanda na kutetea haki za wafanyakazi. Nakuonyesha ya kuwa harakati hizi zimejikita hasa katika suala la kiuchumi na si katika suala la utu, maslahi ya kiakili na kiroho, ndiyo maana ukiangalia ni kufanana na si haki sawa.mkuu iyo asili unayoizungumzia imetokana na watu wenye fikra kama wewe...watu wenye fikra za wazee wa zamani ambazo hazina maana yoyote zaidi ya kulenga kuwakandamiza wanawake.
Mie pia napenda hustle zakoI like ur spirit
Kuishi kulingana na dunia ilivyo ni kuishi kwa kufata akili za watu,akili ambazo kila mtu anavutia kwake.lazima tuishi kutokana na dunia tuliyonayo sahivi...
Kusomeshwa na mama yako hakuhalalishi ya kuwa mwanamke anapaswa kutafuta hela na kuhangaika kiasi hicho. Yaani tunasema hivi "nia njema haihalalishi njia".sisi wengine ni wanaume lakini tumesomeshwa na mama zetu...t
Ushawahi kumuuliza madhila gani yalikuwa yanamkuta katika kutafuta kwake, au wewe utasema ulikuwa mtoto au utasema hilo halina nafasi cha msingi kuishi tu ? Sasa kufikiri kwa namna hii ni kufikiri kwa upande mmoja na ni kufikiri kitoto mno..tumekua tunaona mama zetu wanadandia mafuso kwenda minadani kutafuta hela watulee na kutusomesha alafu leo unataka uniletee habari za sijui kiasili...
Unaposema siyo halisi wakati watu wanaishi katika hali hiyo, naona unajifariji na kujipa moyo,wakati huo huo unakiri ya kuwa mambo kwa yamekuwa ni mvurugano mkubwa na ushindani baina ya mwanaume na mwanamke ila katika nukta moja tu ya uchumi, ila hizo zilizo bakia mmezisahau.mambo unayoongea ni unrealistic kwa maisha ya skuhz ambayo wanawake ni wapambanaji na hata ukiangalia watoto asilimia kubwa sikuhizi wanalelewa na kusomeshwa na mama zao huku wababa wako tu....
Mtu kusomeshwa na mama yake hilo linaingia katika dharura ila siyo jambo la kawaida na mama yako hakupaswa kufanya hivyo, ila baada ya kutokea sababu fulani akafanya hivyo...hayo yatawezekana vipi bila mwanamke kuchakarika
Hapa ndipo mlipoangukia pua, kwa kudhani ya kuwa haki sawa haizingatii suapa la jinsia.Haki sawa haizungumzii kubadilisha jinsia huzungimzia social development za jinsia zote huko nyie ndo hukimbilia ati mumepokwa madaraka yenu
Mkuu kwa comment hii nishajua wewe ni mtu wa namna gani....mimi najenga hoja zangu kwa kutumia maisha ya leo,wewe unajenga hoja zao kwa kutumia mambo ya karne ya 17 huko kipindi ambacho babu zetu walikuwa wanavaa magome ya miti...kila la kheri kwa imani yako yakutaka tuendelee ishi maisha ya kaleSafi kabisa, unapo ongelea waze wa zamani unaongelea wazee wa zamani ipi ? Maana hizi harakati za utetezi wa haki sawa zilianza karne ya 17,18 na ikashamiri hasa katika karne ya 19 na hasa baada ya kushamiri suala la viwanda na kutetea haki za wafanyakazi. Nakuonyesha ya kuwa harakati hizi zimejikita hasa katika suala la kiuchumi na si katika suala la utu, maslahi ya kiakili na kiroho, ndiyo maana ukiangalia ni kufanana na si haki sawa.
Leo hii nakuuliza wewe ni ipi natija inayopatikana kwa mwanamke kutaka kufanana na mwanaume huku silila yake hutaka au humuelekezea katika kumtegemea mwanaume ?
Leo hii wanawake ndiyo wamezidi kunyanyasika mno kuliko vipindi vingine, mpaka wameunda vyama vya utetezi jambo ambalo kipindi cha nyuma halikuwepo, leo hii mwanamke hawezi kusimama bila kumtegemea mwanaume kwa njia yoyote ile, leo hii mwanamke amekuwa chombo cha starehe na kunyanyasika kingono kwa lengo la kujiinua kiuchumi ? Uhuru usio kuwa na mipaka ni utumwa wa kujitakia, na kuikataa asili ni kukiikimbilia shida na matatizo makubwa sana.
Nimecheka sana, hizi harakati mmeletewa toka huko magharibi hakuna wa kulikataa hili, ndiyo maana nikakuuliza zamani unayo iongela wewe ni zamani ipi ? Karne hii mababu zako wanavaa magome ya miti Uingereza walikuwa wameanza hizi habari, kisha kijiti wakakichukua Marekani kisha Ufaransa kisha fikra hizi zikaenea nchi nyingine, kwahiyo lazima tujadili asili, asili ambayo leo hii athari zake zimetufikisha hapa.Mkuu kwa comment hii nishajua wewe ni mtu wa namna gani....mimi najenga hoja zangu kwa kutumia maisha ya leo,wewe unajenga hoja zao kwa kutumia mambo ya karne ya 17 huko kipindi ambacho babu zetu walikuwa wanavaa magome ya miti...kila la kheri kwa imani yako yakutaka tuendelee ishi maisha ya kale
Mkuu kwa comment hii nishajua wewe ni mtu wa namna gani....mimi najenga hoja zangu kwa kutumia maisha ya leo,wewe unajenga hoja zao kwa kutumia mambo ya karne ya 17 huko kipindi ambacho babu zetu walikuwa wanavaa magome ya miti...kila la kheri kwa imani yako yakutaka tuendelee ishi maisha ya kale
Ajabu leo hii kuna vijana wa kiume wanawaza kukusanya nguvu zake za kiuchumi na za mwanamke waendeshe mambo, huwa nawashangaa, hizi fikra ndiyo maana zimezalisha vijana wengi wanao lelewa, vijana wengi wanao shiriki michezo ya bahati nasibu.Siwezi kufanya huo upuuzi!
Huu ndiyo usahihi, mwanamke hatakiwi kutoka nje ya nyumba yake, hata kama anafanya shughuli zake lazima awe karibu na nyumbani kwake, mwanamke kiasiki eneo lake ni nyumbani, ukimuacha atoke hatari inakuwa kubwa zaidi, hata wenyewe wanakiri hilo, ila hapa mishipa ya shingo inawatoka kama anakata roho.Biashara anayofanya mke wangu ni ya kuuza nafaka kwenye Duka karibu na Home,Mazao namletea mwenyewe na pia anafuga kuku wa nyama na mayai nje ya mji huwa tunaenda nae Jmosi kucheck maendeleo ya mifugo,Biashara ya kusafiri mkoa kwenda kukaa huko wiki au kwenda china hatokuja kuifanya!! Baadhi ya wanawake wakiwa free kama hivyo ni rahisi sana kugawa papuchi lakini akiwa mazingira ya kihome home ni ngumu ila akiwa mbali akitokea MJUBA akampigisha sound anakubali kuliwa easily.