Ni sahihi kumuacha Mkeo aparangane na biashara za masafa ya Mbali?

Ni sahihi kumuacha Mkeo aparangane na biashara za masafa ya Mbali?

Huo ulikuwa mfano rahisi tu uelewe logic behind argument yangu huwezi kukumbatia vitu vile vile from ages while kila jambo limechange.
Unajua ya kuwa kuna mambo ya kiasili ambayo hayabadiliki kwa kisingizio chochote kile ? Mfano wa mambo hayo ni mwanamke kumtegemea mwanaume katika utafutaji, ulinzi na usimamizi.

Ndiyo maana utaona kabisa harakati zenu zimelenga upande mmoja tu, nao ni upande wa uchumi, na hii ni baada ya maendeleo ya sayansi na teknolojia katika suala la viwanda na wafanyakazi na hii ilikuwa ni karne ya 19,baada ya yale kupita ya karne ya 17 na 18 kuanzia Uingereza, kisha Marekani kisha Ufaransa na kuenea katika nchi nyingine.

Kwahiyo, hoja ni kuwa unapotaka kubadili jambo la kiasili jiandae kukabiliana na athari hasi zinazo kuja kuvunja jamii kama tuonavyo leo hii.
 
mkuu iyo asili unayoizungumzia imetokana na watu wenye fikra kama wewe...watu wenye fikra za wazee wa zamani ambazo hazina maana yoyote zaidi ya kulenga kuwakandamiza wanawake.
Safi kabisa, unapo ongelea waze wa zamani unaongelea wazee wa zamani ipi ? Maana hizi harakati za utetezi wa haki sawa zilianza karne ya 17,18 na ikashamiri hasa katika karne ya 19 na hasa baada ya kushamiri suala la viwanda na kutetea haki za wafanyakazi. Nakuonyesha ya kuwa harakati hizi zimejikita hasa katika suala la kiuchumi na si katika suala la utu, maslahi ya kiakili na kiroho, ndiyo maana ukiangalia ni kufanana na si haki sawa.

Leo hii nakuuliza wewe ni ipi natija inayopatikana kwa mwanamke kutaka kufanana na mwanaume huku silila yake hutaka au humuelekezea katika kumtegemea mwanaume ?

Leo hii wanawake ndiyo wamezidi kunyanyasika mno kuliko vipindi vingine, mpaka wameunda vyama vya utetezi jambo ambalo kipindi cha nyuma halikuwepo, leo hii mwanamke hawezi kusimama bila kumtegemea mwanaume kwa njia yoyote ile, leo hii mwanamke amekuwa chombo cha starehe na kunyanyasika kingono kwa lengo la kujiinua kiuchumi ? Uhuru usio kuwa na mipaka ni utumwa wa kujitakia, na kuikataa asili ni kukiikimbilia shida na matatizo makubwa sana.
 
lazima tuishi kutokana na dunia tuliyonayo sahivi...
Kuishi kulingana na dunia ilivyo ni kuishi kwa kufata akili za watu,akili ambazo kila mtu anavutia kwake.
sisi wengine ni wanaume lakini tumesomeshwa na mama zetu...t
Kusomeshwa na mama yako hakuhalalishi ya kuwa mwanamke anapaswa kutafuta hela na kuhangaika kiasi hicho. Yaani tunasema hivi "nia njema haihalalishi njia".

Hivi kwanini hamtaki kuongelea athari hasi zinazotokana na mwanamke kuchangamana katika utafutaji wa hela ? Kwenu nyinyi madhara hayana nafasi ila fada iliyo kuwa ndogo yenye kumdhalilisha mwanamke na kumfanya bidhaa yenye thamani ndogo sana ?
.tumekua tunaona mama zetu wanadandia mafuso kwenda minadani kutafuta hela watulee na kutusomesha alafu leo unataka uniletee habari za sijui kiasili...
Ushawahi kumuuliza madhila gani yalikuwa yanamkuta katika kutafuta kwake, au wewe utasema ulikuwa mtoto au utasema hilo halina nafasi cha msingi kuishi tu ? Sasa kufikiri kwa namna hii ni kufikiri kwa upande mmoja na ni kufikiri kitoto mno.
mambo unayoongea ni unrealistic kwa maisha ya skuhz ambayo wanawake ni wapambanaji na hata ukiangalia watoto asilimia kubwa sikuhizi wanalelewa na kusomeshwa na mama zao huku wababa wako tu....
Unaposema siyo halisi wakati watu wanaishi katika hali hiyo, naona unajifariji na kujipa moyo,wakati huo huo unakiri ya kuwa mambo kwa yamekuwa ni mvurugano mkubwa na ushindani baina ya mwanaume na mwanamke ila katika nukta moja tu ya uchumi, ila hizo zilizo bakia mmezisahau.
..hayo yatawezekana vipi bila mwanamke kuchakarika
Mtu kusomeshwa na mama yake hilo linaingia katika dharura ila siyo jambo la kawaida na mama yako hakupaswa kufanya hivyo, ila baada ya kutokea sababu fulani akafanya hivyo.

Hakuna mwanamke mwenye akili timamu aisye jua ya kuwa suala la kuendesha familia ni suala la mwanaume, hili ni wazo sahihi la silika linwambia hivyo mwanamke na hakuna mwanaume kamili ambaye hajui ya kuwa jukumu la kusimamia na kuendesha familia ni lake.
 
ihiiii....nadalagema gete onene!!distance ni lubricant tosha ya mkeo kutafunwa!!kumbuka huko ataalikwa sehem kwa lunch,dinner sasa hapo kitakachofuata ni miguno tu#obheja
 
Haki sawa haizungumzii kubadilisha jinsia huzungimzia social development za jinsia zote huko nyie ndo hukimbilia ati mumepokwa madaraka yenu
Hapa ndipo mlipoangukia pua, kwa kudhani ya kuwa haki sawa haizingatii suapa la jinsia.
 
inategemea na ulaini wa mkeo ukimpimia ukajua ni maji mara mj abaki uko ndani tusje laumiana
 
Safi kabisa, unapo ongelea waze wa zamani unaongelea wazee wa zamani ipi ? Maana hizi harakati za utetezi wa haki sawa zilianza karne ya 17,18 na ikashamiri hasa katika karne ya 19 na hasa baada ya kushamiri suala la viwanda na kutetea haki za wafanyakazi. Nakuonyesha ya kuwa harakati hizi zimejikita hasa katika suala la kiuchumi na si katika suala la utu, maslahi ya kiakili na kiroho, ndiyo maana ukiangalia ni kufanana na si haki sawa.

Leo hii nakuuliza wewe ni ipi natija inayopatikana kwa mwanamke kutaka kufanana na mwanaume huku silila yake hutaka au humuelekezea katika kumtegemea mwanaume ?

Leo hii wanawake ndiyo wamezidi kunyanyasika mno kuliko vipindi vingine, mpaka wameunda vyama vya utetezi jambo ambalo kipindi cha nyuma halikuwepo, leo hii mwanamke hawezi kusimama bila kumtegemea mwanaume kwa njia yoyote ile, leo hii mwanamke amekuwa chombo cha starehe na kunyanyasika kingono kwa lengo la kujiinua kiuchumi ? Uhuru usio kuwa na mipaka ni utumwa wa kujitakia, na kuikataa asili ni kukiikimbilia shida na matatizo makubwa sana.
Mkuu kwa comment hii nishajua wewe ni mtu wa namna gani....mimi najenga hoja zangu kwa kutumia maisha ya leo,wewe unajenga hoja zao kwa kutumia mambo ya karne ya 17 huko kipindi ambacho babu zetu walikuwa wanavaa magome ya miti...kila la kheri kwa imani yako yakutaka tuendelee ishi maisha ya kale
 
Nimecheka sana, hizi harakati mmeletewa toka huko magharibi hakuna wa kulikataa hili, ndiyo maana nikakuuliza zamani unayo iongela wewe ni zamani ipi ? Karne hii mababu zako wanavaa magome ya miti Uingereza walikuwa wameanza hizi habari, kisha kijiti wakakichukua Marekani kisha Ufaransa kisha fikra hizi zikaenea nchi nyingine, kwahiyo lazima tujadili asili, asili ambayo leo hii athari zake zimetufikisha hapa.

Kwahiyo kama mambabu zako walikuwa wanavaa magome, basi ujue Uingereza walikuwa wameanza harakati hizi.
 
Mkuu kwa comment hii nishajua wewe ni mtu wa namna gani....mimi najenga hoja zangu kwa kutumia maisha ya leo,wewe unajenga hoja zao kwa kutumia mambo ya karne ya 17 huko kipindi ambacho babu zetu walikuwa wanavaa magome ya miti...kila la kheri kwa imani yako yakutaka tuendelee ishi maisha ya kale

Mkuu huyo jamaa ni mkoloni akilini.
 
Siwezi kufanya huo upuuzi!
Ajabu leo hii kuna vijana wa kiume wanawaza kukusanya nguvu zake za kiuchumi na za mwanamke waendeshe mambo, huwa nawashangaa, hizi fikra ndiyo maana zimezalisha vijana wengi wanao lelewa, vijana wengi wanao shiriki michezo ya bahati nasibu.

Sisi ndiyo tunatakiwa kupambana kwa hali na mali sababu maumbile yetu yameumbwa kwa ajili hiyo.
 
Segment ambayo wanaume tunapoteza kwenye mtazamo juu ya maisha ya mwanamke ni ile kuwaza kua unaweza kumtawala hapo hata kama ni ndoa jua haipo, mwanamke anaongozwa na sio kutawaliwa ukishakua kiongozi lazima mambo yatakua rahisi sana na nachojua ni rahisi kumuongoza mwanamke kuliko kumtawala maana utataka utumie mabavu ndio utajikuta umefeli.
 
Biashara anayofanya mke wangu ni ya kuuza nafaka kwenye Duka karibu na Home,Mazao namletea mwenyewe na pia anafuga kuku wa nyama na mayai nje ya mji huwa tunaenda nae Jmosi kucheck maendeleo ya mifugo,Biashara ya kusafiri mkoa kwenda kukaa huko wiki au kwenda china hatokuja kuifanya!! Baadhi ya wanawake wakiwa free kama hivyo ni rahisi sana kugawa papuchi lakini akiwa mazingira ya kihome home ni ngumu ila akiwa mbali akitokea MJUBA akampigisha sound anakubali kuliwa easily.
Huu ndiyo usahihi, mwanamke hatakiwi kutoka nje ya nyumba yake, hata kama anafanya shughuli zake lazima awe karibu na nyumbani kwake, mwanamke kiasiki eneo lake ni nyumbani, ukimuacha atoke hatari inakuwa kubwa zaidi, hata wenyewe wanakiri hilo, ila hapa mishipa ya shingo inawatoka kama anakata roho.
 
Karne ya 21 ambayo dunia iko busy mwanaume unaogopa kipengele kidogo sana kwenye mahusiano kua akitoka atabanduliwa huu ni uoga wa usichokifahamu (fear of unknown) ambapo baadae fear of unknown huzaa mind violence yaani utakua mtu wa kuwinda simu ya mke wako usome meseji, simu akipigiwa unawinda usikie anaongea nini mpaka hapo jua wewe uanaume wako una mashaka
 
Piga muwa kisawasawa kwa upande wa usaliti uwezekano ni mdogo, maana kama muwa unampiga kisawasawa, na bado kazi inamchosha.

Kwenye malezi ya watoto na masuala ya familia kwa ujumla wake ndio yanaweza kuyumba.
 
Back
Top Bottom