Ukisoma historia,unajua ya kuwa kuliwahi kuwepo kipindi ambacho mwanamke alikuwa na wanaume kadhaa, kisha akipata ujauzito anamchagua mwenye nguvu au kipato zaidi ya mwengine kisha anampa mtoto, yaani anamuambia huyu mtoto ni wako ?
Shida iko moja, mwanamke hajawahi kukatazwa kumiliki mali, ila ana mipaka ya kutafuta mali kulingana na silika yake, nafasi yake, umuhimu wake. Tatizo kubwa ni kuwa mwalimu wenu aliwafundisha ya kuwa siku zote lazima ushindane na sisi ndiyo utusue na kuwa chini yetu ni UTUMWA. Lakini ukweli ulivyo hakuna zama ambazo mwanamke hakuwahi kuwa mtumwa kuzidi zama hizi, mifano iko mingi sana.