Siwezi kuwa mwanamke sababu umbile nililo umbwa kwalo ni bora zaidi kwangu na hakuna kinyume chake, na umbile lako wewe la kike kwako ni bora zaidi. Hapa akili iliyo salama, inaoba kabisa ya kuwa kuna utofauti wa kiumbile kati ya mwanaume na mwanamke, na lazima majukumu yawe tofauti, kiasili sisi wanaume tumeumbwa katika umbile la ukakamavu, ujasiri na kuhimili mikiki, na nyinyi ni kinyume chake.
Ila sisi sote mbele ya aliye tuumba ubora wetu huangaliwa katika matendo mema tu.
Kuna siku nilikuuliza ubiambie kufikiri nje ya box, kukoje na kunataka nini, lakini kama kawaida yako huwa hujibu maswali unayoulizwa zaidi ya kujihami, hili tatizo na linadhihirisha uanamke wako.
Ama kuhusu mimi kuwa mzigo, hili huwezi kulithibitisha mpaka unakufa, zaidi ya wanao weza kuthibitisha hili ni wake zangu, haya ndiyo matatizo ya ujuaji ukiwa mwingi, lazima uonekane mjinga.