October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
Kwani huu uzi vipi kilamtu anaandika Wangari Maathai kwani yeye kafanyaje eti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini anaenda kukumega ?Kuna mmoja hapa mtaani ana feza ya kutosha sasa kila akiniona lazima anitongoze
Mpe rungu hiloBado namzungusha
Ukitongozwa na mwanamke ukikubali haraka haraka inakuwa hainogi. Naogopa ataniona kuwa mimi ni malaya
Wanawake wakishika hela huwa wanatongoza wanaume!
Maza angu mie ni mwinjilist..basi wanakawaida ya kwenda kuhubiri Sana .bas Kuna siku tukaamua kumpa makavu maza ..tukamwambia unasafiri Sana na dini yenu hiyo kaa upumzike kwani unakosa nini kwa baba? Akaenda mwambia baba ..ahhahaaNimekutana nao wakiwa na magari ya ndizi wakitoka Sokoni mwika na kupeleka mabibo.
Aisee wale wamama wanapiga kazi.
Fikiria wanakodisha garia mizigo kubwa lile tandam au fuso wanatoa ndizi Moshi mizigo ya njiani yote inayoenda sokoni mabibo ilala tandika wanapitia.
Kuna mmoja ni fuso yake kabisa.
Huyu aliniinspire sana kama yeye anamiliki fuso na anasafiri na kukesha njiani mimi ni nani mpaka nishindwe?
Halafu kuna siku mmoja kaanza safari kafika katikati ya safari mume wake akampigia.
Hakupokea sababu alikuwa hajamuaga.
Ikabidi aghairi safari na kuacha dereva na tanboy wapeleke mzigo Dar yeye ageuze Moshi kwenda kuomba msamaha kwa mumewe kwa kuondoka bila kuaga.
Heshima kuliwa ni tabia ya mtu.
Kwa nature ya kazi zao kufata mazao mara nyingi ni kusafiri sana na kupanda magari ya mizigo wanachoka huo mda wa kuliwa na wengine unatoka wapi? Akipumzika anahudumia familia yake na mume.
Utetezi dhaifu kweli huuInategemea tuu mtu anaweza kukusaliti hata kama hatoki nyumbani kwenda kutafuta riziki....
Ila inataka moyo dah...
Wanawake wa huko wanapiga kazi na wanaume walishazoea ni kawaida Sana hata kuchepuka sidhani maana wako busy Sana plus kuchoka.Nimekutana nao wakiwa na magari ya ndizi wakitoka Sokoni mwika na kupeleka mabibo.
Aisee wale wamama wanapiga kazi.
Fikiria wanakodisha garia mizigo kubwa lile tandam au fuso wanatoa ndizi Moshi mizigo ya njiani yote inayoenda sokoni mabibo ilala tandika wanapitia.
Kuna mmoja ni fuso yake kabisa.
Huyu aliniinspire sana kama yeye anamiliki fuso na anasafiri na kukesha njiani mimi ni nani mpaka nishindwe?
Halafu kuna siku mmoja kaanza safari kafika katikati ya safari mume wake akampigia.
Hakupokea sababu alikuwa hajamuaga.
Ikabidi aghairi safari na kuacha dereva na tanboy wapeleke mzigo Dar yeye ageuze Moshi kwenda kuomba msamaha kwa mumewe kwa kuondoka bila kuaga.
Heshima kuliwa ni tabia ya mtu.
Kwa nature ya kazi zao kufata mazao mara nyingi ni kusafiri sana na kupanda magari ya mizigo wanachoka huo mda wa kuliwa na wengine unatoka wapi? Akipumzika anahudumia familia yake na mume.
Hii ya confidence ni kweli!Hata usipo mruhusu na yeye ana Uhuru kujiamulia maisha yake na kujitaftia kipato, Zama zimebadilika sioni shida kabisa, kuliko kukaa nyumbani umfuraishe mume kuwa na hela yako kwa mwanamke Kuna raha yake sio kila siku kuomba pia inakuongezea confidence
huku kwenye notification naona umekotiwa nikiingia huku naona Amu ndio kakotiwa, ID yangu imegeuka Amu aisee.😁😁
Maza angu mie ni mwinjilist..basi wanakawaida ya kwenda kuhubiri Sana .bas Kuna siku tukaamua kumpa makavu maza ..tukamwambia unasafiri Sana na dini yenu hiyo kaa upumzike kwani unakosa nini kwa baba? Akaenda mwambia baba ..ahhahaa
Baba aliniambia hivi;mie ndo nabarikiwa kwenye kazi zangu nazofanya kupitia mahubiri anayofanya mama yenu so stop nonsense! Kutoka siku ile tulifunga midomo!
Same Applied kwangu...!
Kuna kipindi unachoka Sana akili na mwili..lakini huyo huyo waja wanaemhofia ndo anakupa hopes!.aibu zao!
Hakunaga formula kwenye ndoa...hakunaga formula kwenye maisha! Never!
Kuna wamama wako late 50 lakini unamkuta ana matendo ya ajabu Kama yuko early 20s! Na kinyume chake pia!
Kuna siku mshikaji aliniambia...dogo bila wewe kuhuslte naamini ningehama mji.ile sentensi iliniuma...!
Siko hapa kujitetea...au kumfurahisha mtu ..coz not everybody don't deserve my time ..! Kama akili imetulia na una nafasi fanya unachotaka!
Nadhani we ni mwanamke...hakuna popte pale tunapoweza sema anayebak hm ndo hafany ujinga ..!..mie Kama starehe nazijua..sijaona mpya aisee!..Kama ningekuwa nasema nafanya biashara kumbe napitia kivuli bas ningekuwa leo Niko dar .nxt month Niko Kigali..au ningekuwa narudi Pale msamv nadrop alfjir then naruka majoka starpack til monie! Sina hata akili hiyo!
Kila Safari zangu jamaa anazijua ..sijawah hata jiamlia tu from nowea nianze Safari bila kumshirikisha..no never! Kwanza naamini ukifanya biashara bila mwenzako kuridhika Mambo huwa hayamove!
Ukijiamini kwanza ww mwenyew ni dawa tosha! Ni move kubwa Sana!
Naungana na yule anayesema amemruhusu mkewe afanye biashara ila kila mwisho wa mwaka Kodi inatoka kwa mfuko wa mume au hata hela anayopata haionekani inaenda wap..huyo ndo anashida!
Apart from this nna amani na furaha Kwasababu nimejikuta nakutana na watu ambao sikuwah kuwafikiria ninaaminika na watu kuliko hata navyojiamini mm... wananiamini pia nakuwa reference kwa wake zao .. kuishi kwa kutegemea mkono wa mtu unahutaji maagano na Mungu
Naamini nitafika mbali zaidi!
Mungu anipe tu pumzi!
Nime grow nikiona wamama wakipambana na kuchapa kazi wanaamka saa kumi usiku na wamejikwamua na umaskini, wamesomesha watoto wao shule nzuri, na Wana furaha tele Sasa nashangaa mpaka leo mwanaume anakataza mke kufanya kazi akihofia eti kuchepuka,mbona wao hawatulii.Hii ya confidence ni kweli!
Ila Kuna watu wameridhika na Hali zao...wengine wamekata tamaa ndo unaona povu tu kila sehemu!
Ukiamua unaweza!
Ni kweli aisee, hata mtu akiliwa no problemHivi shoga yangu zile kazi zinavyochosha hata Nyege zinatokea wapi?
kwanza unapauka hata nuru hakuna unawaza costs Hasara
hela itarudije bado upate nafasi ya kuwaza kulana...
Ni kosa kubwa sana, na kuuaibisha uana ume.Ni asubuhi nyingine, matumaini ni kuwa mmeamka salama.
Je, ni sahihi kumuacha mkeo kufanya biashara ya kusafiri kwenda mbali kufuata mzigo au bidhaa akiwa mwenyewe? Mfano, mke kusafiri kwenda mikoani kununua mazao ya nafaka na kupeleka dar ambako anamuacha mme wake. Au kusafiri kwenda Dubai ,China au Nairobi kufuata mzigo wa kuuza kama nguo, Mikoba n mitumba, akakaa siku 2 mpaka week 1.
Je, Ina madhara kwa mahusiano?
Muhimu: Jumbe nazoweka hapa si lazima ziwe zinanigusa mimi moja kwa moja bali zitasaidia wengi wanaotaka kujua baadhi ya mambo
Britannica