Ni sahihi kumuacha Mkeo aparangane na biashara za masafa ya Mbali?

Binafsi sioni shida Kwa mwanamke kwenda kuchakarika ili kukuza uchumi wa familia.Nchi yoyote ile aende lengo ni biashara sioni shida hata kidogo.Maisha haya sio yale ya mwanamke kukaa ndani kujiremba remba asubiri kumtengea bwana chakula na *chakula*.
 
Maana yake umecremisha Mambo ya kale ambayo sio applicable kwa dunia ya leo, mfano utembee kwa miguu instead of using car, au ndege.
Kuwepo kwa gari leo hii si katika jambo la kimaumbile bibie, unatakiwa uelewe haya mambo na kuyatofautisha.

Swali langu naona hutaki kulijibu nimekuuliza au kukuomba hivi, mada iko mezani na umeshanipa maana ya kufikiri nje ya box, naomba ufikiri nje ya box juu ya mada hii.
 
Kabla sijakujibu swali lako ambalo ni zuri sana,naomba unijibu swali hili,serikali ya tanzia ipo katika misingi gani ? Je inatumia vigezo gani kutambua haki ya mtu au haki ya jinsi fulani ni ipi ?

Kisha kwa upole kabisa nitakuja kukuelezea au kujibi swali lako, lengo ni kuweza kuelewana kwa wepesi.
Serikali inatambua haki ya kila Raia regardless ya jinsia hamna aliyebora kuliko mwingine ndio maana serikali ime sign convention mbalimbali za kukinga ukatili wa kijinsia na haki za watoto, adult's at risk, na Makundi Kama ya walemavu yote hyo kulinda Watanzania wote.
 
mkuu hayo mawazo yako yamepitwa na wakati sio wanaume tu wenye jukumu la kutafuta,hata wanawake siku hizi wana hustle sana tu na wanamafanikio kuliko hata wanaume..na nimegundua siku hizi mwanaume ukitaka ufanikiwe kwenye biashara jenga ukaribu wa wanawake wenye connection na biashara wanaweza kukupa mawazo mazuri na wanazijua vizuri biashara mbalimbali hata usizowazania...mwanamke akishakuwa hustler mwogope sana huwa wanakuwa hustlers kwelikweli hawatanii...nimeona hata humu jf skuhz wanawake ndo wanafunguka vizuri zaidi kuhusu details za biashara mbalimbali kuliko hata wanaume..tembelea jukwaa la ujasiriamali na biashara usome kila comment ndo utaelewa vizuri hichi nachozungumza
Kurudi kwenye asili ni jambo sahali sana, ushawahi kuona ni athari zipi zinazotokana na mwanamke kuingia mtaani na kuanza kuchangamana na sisi katika utafutaji wa hela ?

Sasa ukiwa unafikiria jambo kwa mtu timamu lazima afikirie na uhalisia wa athari zinazotokana na jambo husika. Ukiacha kushughulika na athari ni kuikataa akili.
 
Nime grow nikiona wamama wakipambana na kuchapa kazi wanaamka saa kumi usiku na wamejikwamua na umaskini, wamesomesha watoto wao shule nzuri, na Wana furaha tele Sasa nashangaa mpaka leo mwanaume anakataza mke kufanya kazi akihofia eti kuchepuka,mbona wao hawatulii.
Lazima watu wafanye kazi kutokomeza umaskini Mimi binafsi siwezi kutulia nyumbani eti mume hataki lazima nifanye kazi nihakikishe Ada nzuri inapatikana ya watoto ukichaganya na mume.
Ila hela sabuni ya roho huongeza confidence na kupunguza stress 95%
Sana.
Ukiwa na vichenjivyako huwezi kuwa na stress ndogo ndogo.

Kuna watu ni wakandamizaji by nature.
Atakunyanyasa kihisia na kimwili.

Walau ukiwa unajiweza unajisimamia.
 
Serikali inatambua haki ya kila Raia regardless ya jinsia hamna aliyebora kuliko mwingine ndio maana serikali ime sign convention mbalimbali za kukinga ukatili wa kijinsia na haki za watoto, adult's at risk, na Makundi Kama ya walemavu yote hyo kulinda Watanzania wote.
Unaweza kunipa usahihi wa msingi huu wa serikali katika kutambua hizo haki ? Au ni zipi faida na hasara za msingi huo ?
 
Hyo ya kutokuwa sawa ni bilogical make-up tu and has nothing to do nakufanya kazi ili kujipatia maendeleo, na pia mwanamke kusoma na kujipatia maendeleo hashindani na mwanaume hizo ni perception zetu tu hamtaki kukubali kuwa Mambo yame change na kusingizia tunashindana.
Wanawake tunapambana na umaskini na kujikwamua kiuchumi nyie Bakini na nafasi na nyimbo za uanaume wenu sie twasonga mbele.
Naona sasa umeamua kuukataa ukweli kwa makusudi.

Ndiyo maaa huwa sishangai kuona haki sawa kuifanya kufanana kwa haki.

Narudi kuendelea hapa nilipoishia.
 
Kuwepo kwa gari leo hii si katika jambo la kimaumbile bibie, unatakiwa uelewe haya mambo na kuyatofautisha.

Swali langu naona hutaki kulijibu nimekuuliza au kukuomba hivi, mada iko mezani na umeshanipa maana ya kufikiri nje ya box, naomba ufikiri nje ya box juu ya mada hii.
Huo ulikuwa mfano rahisi tu uelewe logic behind argument yangu huwezi kukumbatia vitu vile vile from ages while kila jambo limechange.
 
Sana.
Ukiwa na vichenjivyako huwezi kuwa na stress ndogo ndogo.

Kuna watu ni wakandamizaji by nature.
Atakunyanyasa kihisia na kimwili.

Walau ukiwa unajiweza unajisimamia.
Very true I wish one day wanawake wote tukomboke kiuchumi, tuweze kujisimamia na uzalilishaji wa kimwili na kihisia ukome kabisa
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mithali 31:10 Mke mwema, ni nani awezaye kumwona?Maana kima chake chapita kima cha marijani.
11 Moyo wa mumewe humwamini,Wala hatakosa kupata mapato.
12 Humtendea mema wala si mabaya,Siku zote za maisha yake.
13 Hutafuta sufu na kitani;Hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo.
14 Afanana na merikebu za biashara;Huleta chakula chake kutoka mbali.
15 Tena huamka, kabla haujaisha usiku;Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula;Na wajakazi wake sehemu zao.
16 Huangalia shamba, akalinunua;Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu.
17 Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi;Hutia mikono yake nguvu.
18 Huona kama bidhaa yake ina faida;Taa yake haizimiki usiku.
19 Hutia mikono yake katika kusokota;Na mikono yake huishika pia.
20 Huwakunjulia maskini mikono yake;Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake.
21 Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake;Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu.
22 Hujifanyia mazulia ya urembo;Mavazi yake ni kitani safi na urujuani.
23 Mume wake hujulikana malangoni;Aketipo pamoja na wazee wa nchi.
24 Hufanya nguo za kitani na kuziuza;Huwapa wafanya biashara mishipi.
25 Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake;Anaucheka wakati ujao.
26 Hufumbua kinywa chake kwa hekima,Na sheria ya wema i katika ulimi wake.
27 Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake;Wala hali chakula cha uvivu.
28 Wanawe huondoka na kumwita heri;Mumewe naye humsifu, na kusema,
29 Binti za watu wengi wamefanya mema,Lakini wewe umewapita wote.
30 Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili;Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa.
31 Mpe mapato ya mikono yake,Na matendo yake yamsifu malangoni.
Very Good
 
Kurudi kwenye asili ni jambo sahali sana, ushawahi kuona ni athari zipi zinazotokana na mwanamke kuingia mtaani na kuanza kuchangamana na sisi katika utafutaji wa hela ?

Sasa ukiwa unafikiria jambo kwa mtu timamu lazima afikirie na uhalisia wa athari zinazotokana na jambo husika. Ukiacha kushughulika na athari ni kuikataa akili.
mkuu iyo asili unayoizungumzia imetokana na watu wenye fikra kama wewe...watu wenye fikra za wazee wa zamani ambazo hazina maana yoyote zaidi ya kulenga kuwakandamiza wanawake..lazima tuishi kutokana na dunia tuliyonayo sahivi...sisi wengine ni wanaume lakini tumesomeshwa na mama zetu...tumekua tunaona mama zetu wanadandia mafuso kwenda minadani kutafuta hela watulee na kutusomesha alafu leo unataka uniletee habari za sijui kiasili...mambo unayoongea ni unrealistic kwa maisha ya skuhz ambayo wanawake ni wapambanaji na hata ukiangalia watoto asilimia kubwa sikuhizi wanalelewa na kusomeshwa na mama zao huku wababa wako tu....hayo yatawezekana vipi bila mwanamke kuchakarika
 
Hakunaga wakala mwaminifu kwenye biashara ya mazao.
Kuanzia shamba mpaka sokoni ni kupigwa tu.
Biashara anayofanya mke wangu ni ya kuuza nafaka kwenye Duka karibu na Home,Mazao namletea mwenyewe na pia anafuga kuku wa nyama na mayai nje ya mji huwa tunaenda nae Jmosi kucheck maendeleo ya mifugo,Biashara ya kusafiri mkoa kwenda kukaa huko wiki au kwenda china hatokuja kuifanya!! Baadhi ya wanawake wakiwa free kama hivyo ni rahisi sana kugawa papuchi lakini akiwa mazingira ya kihome home ni ngumu ila akiwa mbali akitokea MJUBA akampigisha sound anakubali kuliwa easily.
 
Mithali 31:10 Mke mwema, ni nani awezaye kumwona?Maana kima chake chapita kima cha marijani.
11 Moyo wa mumewe humwamini,Wala hatakosa kupata mapato.
12 Humtendea mema wala si mabaya,Siku zote za maisha yake.
13 Hutafuta sufu na kitani;Hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo.
14 Afanana na merikebu za biashara;Huleta chakula chake kutoka mbali.
15 Tena huamka, kabla haujaisha usiku;Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula;Na wajakazi wake sehemu zao.
16 Huangalia shamba, akalinunua;Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu.
17 Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi;Hutia mikono yake nguvu.
18 Huona kama bidhaa yake ina faida;Taa yake haizimiki usiku.
19 Hutia mikono yake katika kusokota;Na mikono yake huishika pia.
20 Huwakunjulia maskini mikono yake;Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake.
21 Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake;Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu.
22 Hujifanyia mazulia ya urembo;Mavazi yake ni kitani safi na urujuani.
23 Mume wake hujulikana malangoni;Aketipo pamoja na wazee wa nchi.
24 Hufanya nguo za kitani na kuziuza;Huwapa wafanya biashara mishipi.
25 Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake;Anaucheka wakati ujao.
26 Hufumbua kinywa chake kwa hekima,Na sheria ya wema i katika ulimi wake.
27 Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake;Wala hali chakula cha uvivu.
28 Wanawe huondoka na kumwita heri;Mumewe naye humsifu, na kusema,
29 Binti za watu wengi wamefanya mema,Lakini wewe umewapita wote.
30 Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili;Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa.
31 Mpe mapato ya mikono yake,Na matendo yake yamsifu malangoni.
Liked
 
Naona sasa umeamua kuukataa ukweli kwa makusudi.

Ndiyo maaa huwa sishangai kuona haki sawa kuifanya kufanana kwa haki.

Narudi kuendelea hapa nilipoishia.
Haki sawa haizungumzii kubadilisha jinsia huzungimzia social development za jinsia zote huko nyie ndo hukimbilia ati mumepokwa madaraka yenu
 
mkuu iyo asili unayoizungumzia imetokana na watu wenye fikra kama wewe...watu wenye fikra za wazee wa zamani ambazo hazina maana yoyote zaidi ya kulenga kuwakandamiza wanawake..lazima tuishi kutokana na dunia tuliyonayo sahivi...sisi wengine ni wanaume lakini tumesomeshwa na mama zetu...tumekua tunaona mama zetu wanadandia mafuso kwenda minadani kutafuta hela watulee na kutusomesha alafu leo unataka uniletee habari za sijui kiasili...mambo unayoongea ni unrealistic kwa maisha ya skuhz ambayo wanawake ni wapambanaji na hata ukiangalia watoto asilimia kubwa sikuhizi wanalelewa na kusomeshwa na mama zao huku wababa wako tu....hayo yatawezekana vipi bila mwanamke kuchakarika
Thanks for clarification be blessed
 
anakuwaje free wakati yupo busy na biashara?
Free namaanisha hakuna string attached hakuna unayemuogopa kufanya jambo maana unakuwa mbali na watu wanaokujua so unajiachia coz hakuna wa kupeleka umbea!!
 
Biashara anayofanya mke wangu ni ya kuuza nafaka kwenye Duka karibu na Home,Mazao namletea mwenyewe na pia anafuga kuku wa nyama na mayai nje ya mji huwa tunaenda nae Jmosi kucheck maendeleo ya mifugo,Biashara ya kusafiri mkoa kwenda kukaa huko wiki au kwenda china hatokuja kuifanya!! Baadhi ya wanawake wakiwa free kama hivyo ni rahisi sana kugawa papuchi lakini akiwa mazingira ya kihome home ni ngumu ila akiwa mbali akitokea MJUBA akampigisha sound anakubali kuliwa easily.
mkuu mwanamke hata akiwa karibu vipi akiamua kuchepuka atachepuka tu...mtu anachepuka sababu ya tabia na maamuzi yake binafsi...mtu hachepuki sababu yupo free...mwanamke hata umuwekee ulinzi kiasi gani akiamua kukusaliti anakusaliti tu
 
Back
Top Bottom