Akili kumkichwa umeshapewa ushauri mzuri tuHapa ndipo panaponiumiza kichwa sana; anaweza kutaka kujimilikisha kwa kigezo cha kuzaa naye, au akatumia njia za giza kufanya mapinduzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili kumkichwa umeshapewa ushauri mzuri tuHapa ndipo panaponiumiza kichwa sana; anaweza kutaka kujimilikisha kwa kigezo cha kuzaa naye, au akatumia njia za giza kufanya mapinduzi
Kama hutaki wafahamu Basi wazo la kumfungulia biashara litakusaidia kupunguza kupigiwa Simu za kila Mara mtoto kameza shoka.Nampenda sana mtoto; ila kwa sasa sitaki nyumbani wafahamu
Hiyo biashara usitegemee kunufaika nayo Moja kwa moja,Hapa ndipo panaponiumiza kichwa sana; anaweza kutaka kujimilikisha kwa kigezo cha kuzaa naye, au akatumia njia za giza kufanya mapinduzi
Kweli mkuu, wasiwasi wangu ndio upo hapo, kwa sababu nasitisha mambo mengine ili nifanye hiyo biasharaKama huna kazi na hizo Hela bhasi kagawie ombaomba aisee ila Ukisema umpe mchepuko asimamie biashara ni biashara kichaaa yani utakuja kuliaaa vibaya sanaaa...!!
Kama uwezo upo mfungulie biashara bwana.Hapa ndipo panaponiumiza kichwa sana; anaweza kutaka kujimilikisha kwa kigezo cha kuzaa naye, au akatumia njia za giza kufanya mapinduzi
Ingawa kuonana inaweza kuchukua miezi miwili na zaidi, ila kama nitafika huko ushawishi unaweza kutokea; kwa sababu ataseme hao wengine wana nini zaidi yake.Utaendelea kumpanda au mipaka itaishia kwenye biashara tu?
Hapa ndipo wasi wasi ulipoAsipomuibia ajinufaishe mweyewe ataitwa fala.
Basi hilo duka ndiyo mahari yake.Ingawa kuonana inaweza kuchukua miezi miwili na zaidi, ila kama nitafika huko ushawishi unaweza kutokea; kwa sababu ataseme hao wengine wana nini zaidi yake.
Kweli mkuu, natafuta mawazo mbalimbali ili niweze kufanya maamuziGood idea usisikilize sadist wa humu jf kwao kila kitu negative tu, bora uweke mtu unae jua kuliko kuweka mtu baki
Mambo haya DeepPond anaweza akakupa ushauri mzuri sana,japo mm naona unajitafutia matatzo bure.Habari wakuu?
Nilikuwa na wazo la kufungua biashara ya nguo wilayani Kahama, na changamoto niliyonayo ni usimamizi, na mimi pia nipo mbali na huo ukanda. Nikiangalia haraka haraka kwenye databesi yangu, anayeweza kukaa huko na kusimamia hiyo biashara ni mchepuko wangu niliyezaa naye mtoto. Kwa upande wake atanufaika kwa mshahara labda na mauzo yakiwa juu; ila umiliki unakuwa ni wa kwangu.
Hofu niliyonayo; je hawezi kuja kunizurumu au kunitapeli huko mbeleni; akijua kabisa hii biashara siyo ya kwake, bali anampambania mwanamke mwenzake aliyepo kwenye ndoa?
Karibuni kwa ushauri
Kumbe umeshakuja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama unampenda mwanao,
Na Unaona KABISA akili au uzoefu wa baishara uyo mwanamke anao .
Basi Wee mfungulie tu,
Maana kuombwa ombwa Ela kill mara na mtu mwnyw yuko mbali na wewe Kuna KERO zake nyingi Sana tu mkuu.
Kweli mkuuAkili kumkichwa umeshapewa ushauri mzuri tu
Kwa nini?labda km hiyo biashara ya kumuuza huyo ex wako apo sawa
Nami nafikiria hicho mkuuKwa faida ya mwanao fungua hilo duka.huwezi jua huyo mtoto atakuwa nani badae.
Ha ha ha haBasi hilo duka ndiyo mahari yake.
Inavyoelekea mke halali anajua hii pesa ya mtaji, hapa ndipo tatizo lilipo. Kama jamaa angekua na hela yake ya siri angefungua duka na akawa anatembelea maeneo hayo kukagua biashara na familia ndogo.Kwa faida ya mwanao fungua hilo duka.huwezi jua huyo mtoto atakuwa nani badae.