Ni sahihi kumuajiri mwanamke uliyezaa naye kwenye biashara yako?

Hapa ndipo panaponiumiza kichwa sana; anaweza kutaka kujimilikisha kwa kigezo cha kuzaa naye, au akatumia njia za giza kufanya mapinduzi
Hiyo biashara usitegemee kunufaika nayo Moja kwa moja,

Iyo biashara inakwenda kukusaidia pesa za malezi kwa mwanao na uyo Mchepuko wako.

Kwaiyo,
Usije ukaitoa Kwny mkopo wa benki ukitegemea upeleke rejesho, utafeli mapema mno.

Hii inapaswa kutoka Kwny akiba yako mwnyw, na hata ikipotea isikuumize kibiashara.
 
Kama huna kazi na hizo Hela bhasi kagawie ombaomba aisee ila Ukisema umpe mchepuko asimamie biashara ni biashara kichaaa yani utakuja kuliaaa vibaya sanaaa...!!
Kweli mkuu, wasiwasi wangu ndio upo hapo, kwa sababu nasitisha mambo mengine ili nifanye hiyo biashara
 
Utaendelea kumpanda au mipaka itaishia kwenye biashara tu?
Ingawa kuonana inaweza kuchukua miezi miwili na zaidi, ila kama nitafika huko ushawishi unaweza kutokea; kwa sababu ataseme hao wengine wana nini zaidi yake.
 
Kama una uhakika kuwa hataleta shida kwenye ndoa yako na biashara yako mfungulie, kama una wasiwasi naye tafuta mtu mwingine ilimradi unamtimizia Mtoto wako mahitaji yake.
 
Good idea usisikilize sadist wa humu jf kwao kila kitu negative tu, bora uweke mtu unae jua kuliko kuweka mtu baki
Kweli mkuu, natafuta mawazo mbalimbali ili niweze kufanya maamuzi
 
Mambo haya DeepPond anaweza akakupa ushauri mzuri sana,japo mm naona unajitafutia matatzo bure.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwa faida ya mwanao fungua hilo duka.huwezi jua huyo mtoto atakuwa nani badae.
Inavyoelekea mke halali anajua hii pesa ya mtaji, hapa ndipo tatizo lilipo. Kama jamaa angekua na hela yake ya siri angefungua duka na akawa anatembelea maeneo hayo kukagua biashara na familia ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…