Ni sahihi kumuajiri mwanamke uliyezaa naye kwenye biashara yako?

Siyo mchepuko tu..Ni mama wa mtoto wake pia...

Nyie wanaume mna ka selfishness fulani..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo kuzaa nae ndo sio mchepuko??? Jamaa ana mke wake yeye hiyo biashara afanye kama amemzawadia huyo mchepuko...
 
Pamoja na hayo bado ataendelea kumpigia simu za usumbufu kumuomba hela za kusema mtoto anaumwa n.k

Atamwambia biashara haitoki na hadithi chungu nzima.

Tabu itakuwa palepale.
Kwa mwanamke anayejitambua sidhani, na hata zikipigwa haitokua sawa na kipind Akiwa na biashara na pesa anazo.

Wanawake wengine wakitimiziwa mahitaji yao hawana kelele kabisa, otherwise ananyege zake anahitaji uende ukamsugue.
 
Huyo ni mke wako umemfungulia biashara acha kujidanganya,hakuna cha mchepuko
 
Kuzaa na mtu tayari ni mkeo?
ndiyo labda hujui maana ya mke, sema hauko tayari kuishi naye kwa sasa baada ya kumpata mwingine hata hivyo ni njinga tu ataamini mwanamke umezaa naye halafu unamfnya kuwa mfanyakazi wa kusimamia biashara yako halafu msije kupasha kiporo tena mmmmm kumbuka moto hupungua kwa kutoa kuni na huwa mkali kwa kusogeleana kuni pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…