Ungependa kumwona rafiki yako anaishi na mpenzi asie na uadilifu katika mahusiano? Na ikitokea akagundua ulijua ila huku mtahadharisha juu ya mpenzi wake ata furahia?[emoji18]
Ushawahi kumkataa mpenzi wa rafiki yako halafu akaamua ampige chini huyo rafiki yako kwa kumwambia anamuacha kwa ajili yako??Unadhani ni sawa? Lengo ni kujenga au kubomoa mahusiano ya rafiki yako na mke/mume/bf/gf?
Mimi siwezi kusema mpenzi wa rafiki yangu akinitongoza nitamkataa ila sitakaa kumuonyesha wala kureport kwa rafiki yangu.
Wengine mnaonaje? Ni sawa kumezea au kuyarudisha kwa rafiki yako?
Ushawahi kumkataa mpenzi wa rafiki yako halafu akaamua ampige chini huyo rafiki yako kwa kumwambia anamuacha kwa ajili yako??
Hapo ndio utajua maana ya vita baridi. Usiombe!!!
Sijawahi wakinitongoza nacheka tu na mazoea yanakomea hapo
Basi mi nilipewa option mbili tu na huyo mremboHii vita ishanikuta. Bwana alikua anaflirt na rafiki yangu. Siku kaniona akamwambia nampenda rafiki yako. Vita baridi ilizuka.
Unadhani ni sawa? Lengo ni kujenga au kubomoa mahusiano ya rafiki yako na mke/mume/bf/gf?
Mimi siwezi kusema mpenzi wa rafiki yangu akinitongoza nitamkataa ila sitakaa kumuonyesha wala kureport kwa rafiki yangu.
Wengine mnaonaje? Ni sawa kumezea au kuyarudisha kwa rafiki yako?
Ni sahihi bila ubishi.Unadhani ni sawa? Lengo ni kujenga au kubomoa mahusiano ya rafiki yako na mke/mume/bf/gf?
Mimi siwezi kusema mpenzi wa rafiki yangu akinitongoza nitamkataa ila sitakaa kumuonyesha wala kureport kwa rafiki yangu.
Wengine mnaonaje? Ni sawa kumezea au kuyarudisha kwa rafiki yako?
Me nafikiri ni uchonganishi tu kwakweli,Kwanini usimkatae kimya kimya.Au tumia muda huo kumuelewesha kwamba sio vizuri kutongoza marafiki wa mpenzi wako..then ukaa kimya,ujue ukifanya hivyo hata huyo mwanaume atakuheshimu milele.
Nilipewa wiki nzima kutafakari ipi njema! Nikachagua ya pili nikiamini ye hana guts kwenda kusema but she did it. Japo hata mi nilimchana mchizi ila urafiki ulikufa.Daaah. Ukachagua ipi?