Ni sahihi kumwambia rafiki yako mpenzi wake akikutaka?

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Unadhani ni sawa? Lengo ni kujenga au kubomoa mahusiano ya rafiki yako na mke/mume/bf/gf?
Mimi siwezi kusema mpenzi wa rafiki yangu akinitongoza nitamkataa ila sitakaa kumuonyesha wala kureport kwa rafiki yangu.
Wengine mnaonaje? Ni sawa kumezea au kuyarudisha kwa rafiki yako?
 
Ungependa kumwona rafiki yako anaishi na mpenzi asie na uadilifu katika mahusiano? Na ikitokea akagundua ulijua ila huku mtahadharisha juu ya mpenzi wake ata furahia (Chukulia baada ya wewe kumkataa, akaenda kudanga huko akamuambukiza maradhi huyo rafiki yako, wakati wewe ulikua na uwezo wa kumtahadharisha kama si kumuokoa)???[emoji18]
 
Siku zote kizuri unakula la mwenzio, ila kimya kimya.
Sasa kama umeamua kula au uko kwenye harakati za kuliwa kwa nini kumuumiza roho rafiki yako??

Kula au liwa kimya kimya, pangusa midomo.
Jifanye hujala au kuliwa.

Kama hutaki kuliwa, basi kataa kimya kimya.
Biashara ya kulana sio matangazo.
 
Unadhani ni sawa? Lengo ni kujenga au kubomoa mahusiano ya rafiki yako na mke/mume/bf/gf?
Mimi siwezi kusema mpenzi wa rafiki yangu akinitongoza nitamkataa ila sitakaa kumuonyesha wala kureport kwa rafiki yangu.
Wengine mnaonaje? Ni sawa kumezea au kuyarudisha kwa rafiki yako?
Ushawahi kumkataa mpenzi wa rafiki yako halafu akaamua ampige chini huyo rafiki yako kwa kumwambia anamuacha kwa ajili yako??
Hapo ndio utajua maana ya vita baridi. Usiombe!!!
 
Hii vita ishanikuta. Bwana alikua anaflirt na rafiki yangu. Siku kaniona akamwambia nampenda rafiki yako. Vita baridi ilizuka.

Basi mi nilipewa option mbili tu na huyo mrembo
1. Nikamueleze jamaa kuwa mpenzi wake ananitaka
2. Aende mwenyewe kumwambia mpenzi wake kuwa ananipenda mimi, hivyo wabreak up.
 
Me nafikiri ni uchonganishi tu kwakweli,Kwanini usimkatae kimya kimya.Au tumia muda huo kumuelewesha kwamba sio vizuri kutongoza marafiki wa mpenzi wako..then ukaa kimya,ujue ukifanya hivyo hata huyo mwanaume atakuheshimu milele.

Unadhani ni sawa? Lengo ni kujenga au kubomoa mahusiano ya rafiki yako na mke/mume/bf/gf?
Mimi siwezi kusema mpenzi wa rafiki yangu akinitongoza nitamkataa ila sitakaa kumuonyesha wala kureport kwa rafiki yangu.
Wengine mnaonaje? Ni sawa kumezea au kuyarudisha kwa rafiki yako?
 
Unadhani ni sawa? Lengo ni kujenga au kubomoa mahusiano ya rafiki yako na mke/mume/bf/gf?
Mimi siwezi kusema mpenzi wa rafiki yangu akinitongoza nitamkataa ila sitakaa kumuonyesha wala kureport kwa rafiki yangu.
Wengine mnaonaje? Ni sawa kumezea au kuyarudisha kwa rafiki yako?
Ni sahihi bila ubishi.
 
Daaah. Ukachagua ipi?
Basi mi nilipewa option mbili tu na huyo mrembo
1. Nikamueleze jamaa kuwa mpenzi wake ananitaka
2. Aende mwenyewe kumwambia mpenzi wake kuwa ananipenda mimi, hivyo wabreak up.
 
Umeguswa bby.. hahahahahaa. Kweli hata mimi naona ni uchonganishi bora umwambie tu shemeji unavyofanya sio poa ukirudia nakushtaki.
Me nafikiri ni uchonganishi tu kwakweli,Kwanini usimkatae kimya kimya.Au tumia muda huo kumuelewesha kwamba sio vizuri kutongoza marafiki wa mpenzi wako..then ukaa kimya,ujue ukifanya hivyo hata huyo mwanaume atakuheshimu milele.
 
Sisi mabazazi huwa tunafanya hivi.......
Ikitokea nimemzoza rafiki wa mke wangu, na kisha huyo shemeji wangu akanisema kwa wife....... Basi mimi nitakacho kifanya ni kumwambia wife kwamba huyo rafiki yake ndie anaonyesha dalili zote za kunitega/kunitaka.
Baada ya hapo najua nitakua nimewaletea boonge la ugomvi, then minajiweka pembeni kuwachora tu....tehteehh [emoji23] [emoji13]
 
Kuna watu hawapitwi wewe. Hata mke anatongoza tu kwa sh ngapi.
Marafiki wengi wa kibongo ma snitch..

Huwezi kutongoza demu au msela wa rafiki yako hata siku moja. Otherwise wewe ni snitch na unastahili kudanja tu.
 
Daaah. Ukachagua ipi?
Nilipewa wiki nzima kutafakari ipi njema! Nikachagua ya pili nikiamini ye hana guts kwenda kusema but she did it. Japo hata mi nilimchana mchizi ila urafiki ulikufa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom