Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Kulea shetani ni dhambi kubwa. Kumstiri pia ni kosa.Me nafikiri ni uchonganishi tu kwakweli,Kwanini usimkatae kimya kimya.Au tumia muda huo kumuelewesha kwamba sio vizuri kutongoza marafiki wa mpenzi wako..then ukaa kimya,ujue ukifanya hivyo hata huyo mwanaume atakuheshimu milele.
Hapa najifunza kwamba Story za Jf niwe naziachaga humu humu Jf ... kuna tofauti kubwa mnoo ya umbali wa anga la blue na ardhi ..when linapokuja suala la uhalisia wa hizi story za MMU na CHIT CHAT kwenye maisha yenye uhalisia .. hahaaaSijawahi wakinitongoza nacheka tu na mazoea yanakomea hapo
Hahaa hivyo hivyo " nakumbuka nilikuwaga na manzi mmoja hivi alikuwa ndiye main chick wangu .. alizifuma text za ji -dada moja hivi katika handset yangu " nilivyoona maji ya shingo nika mwambia manzi wangu kuwa yule dada alikuwa ananitaka kitambo tu ila nina mchomolea then nikamueleza kuwa nilikuwa nashindwa kumwambia yeye kwa sababu ni watu wanao fahamiana na wana kaji-urafiki fulani hivi "... nikawa nimefaulu kuua sooSisi mabazazi huwa tunafanya hivi.......
Ikitokea nimemzoza rafiki wa mke wangu, na kisha huyo shemeji wangu akanisema kwa wife....... Basi mimi nitakacho kifanya ni kumwambia wife kwamba huyo rafiki yake ndie anaonyesha dalili zote za kunitega/kunitaka.
Baada ya hapo najua nitakua nimewaletea boonge la ugomvi, then minajiweka pembeni kuwachora tu....tehteehh [emoji23] [emoji13]
Hahahakuna mtu mmoja alimwambiabrafiki yake kuwa mke si mwaminifu abaliwa hovyo..
unajua alijibu nini?
"nani alikupa kazi ya kumfuatilia mke wangu?"
Tatizo hujui anampenda kwa kiasi gani yawezekana ukienda kumuambia ndo ukachukiwa na wote i mean watakuona kama umeonesha nia ovu ya kutaka watengane.Ungependa kumwona rafiki yako anaishi na mpenzi asie na uadilifu katika mahusiano? Na ikitokea akagundua ulijua ila huku mtahadharisha juu ya mpenzi wake ata furahia (Chukulia baada ya wewe kumkataa, akaenda kudanga huko akamuambukiza maradhi huyo rafiki yako, wakati wewe ulikua na uwezo wa kumtahadharisha kama si kumuokoa)???[emoji18]
Ogopa sana mke au mpenz anayetongozwa anakuja kukuambia mara nyingi huwa ana kidume kimoja au viwili ambavyo hawezi kukuambia.
Anakupa attention ya kumwamini while anafanya madudu yake mengine kwa siri. Cha msingi yeye mwenyew aweze kujicontrol na akaeleweka km kweli ni honest. Sasa anakwambia ili iweje?
Hapa najifunza kwamba Story za Jf niwe naziachaga humu humu Jf ... kuna tofauti kubwa mnoo ya umbali wa anga la blue na ardhi ..when linapokuja suala la uhalisia wa hizi story za MMU na CHIT CHAT kwenye maisha yenye uhalisia .. hahaaa
Hahaa hivyo hivyo " nakumbuka nilikuwaga na manzi mmoja hivi alikuwa ndiye main chick wangu .. alizifuma text za ji -dada moja hivi katika handset yangu " nilivyoona maji ya shingo nika mwambia manzi wangu kuwa yule dada alikuwa ananitaka kitambo tu ila nina mchomolea then nikamueleza kuwa nilikuwa nashindwa kumwambia yeye kwa sababu ni watu wanao fahamiana na wana kaji-urafiki fulani hivi "... nikawa nimefaulu kuua soo
Kwa lugha ingine ,upo tayar kidate na Mpenzi wa Rafiki ako .
Unaroho nzuri Bidada ... Wasukuma wanasema No shidaaaah!!!
Mi sisemi kwa rafiki yangu ila wewe nitakwambia unachofanya sio vizuri. Rafiki yangu hatokaa ajue. Na akijua nitamwambia sikutaka kuwa kati yenu maana najua usingemuacha bora umejua mwenyewe.Mimi huwa sisemi " hata nikimuona mke wa ndugu " jamaa " yangu au rafiki analiwa napiga Mute tu " .. watajuana wenyewe " tena ndio kwanza huwa na show love la kinafki kwa shemeji yangu kama vile hakuna kilichotokea
Ni wachache sana wataona umeongea kwa nia njema. Sasa mtu kama kila siku anasema katongozwa na mashemeji zake na hana uzuri huoooo wa kusema katongozwa utamuamini?Tatizo hujui anampenda kwa kiasi gani yawezekana ukienda kumuambia ndo ukachukiwa na wote i mean watakuona kama umeonesha nia ovu ya kutaka watengane.
Aahhh kumbe, Basi nikawaida na rahisi sana kwa mwanamke kutoa sir juu ya mtongozo alopewa na shemejie kwakua kwanza Inampa sifa mbele ya uyo shost, pili anauwanja wa kujimwayamwaya, Lkn nalo sinisehem ya Kukuonyesha uchafu wa Bwanako??? Mi nadhan kwa mwanamke mwenye uwezo wa Kuhoji , iz ni habar njema kwake na ukiwa na Akili huwezi zichukulia negative tuu.Nina roho nzuri kweli ila mchoyo wa mapenzi. Sitoki na bwana wa rafiki yangu yeyote. Kuna rafiki yangu ndo tabia yake hii kusema bwana wa mwenzie anamtaka. Akimjua mwanaume wa rafiki yake lazima kesho aje aseme alitongozwa. Nimechoka kumshangaa ndo maana nikauliza huku kama ni sawa kwa sababu mimi mabwana zake wananitongozaga ila sijawahi kumwambia kwa sababu najua atajisikia vibaya sana maana hapendagi hata nijuane nao ila ikitokea atajishtukia hadi basi.