Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Kulea shetani ni dhambi kubwa. Kumstiri pia ni kosa.Me nafikiri ni uchonganishi tu kwakweli,Kwanini usimkatae kimya kimya.Au tumia muda huo kumuelewesha kwamba sio vizuri kutongoza marafiki wa mpenzi wako..then ukaa kimya,ujue ukifanya hivyo hata huyo mwanaume atakuheshimu milele.