Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
WakuuKilichoelezwa kwenye ripoti ya CAG kinatosha kutuaminisha kwamba serikali ya CCM ni wezi? Au itoshe kusema serikali ya CCM imeshindwa kusimamia sheria? Au basi tuseme serikali ya CCM imelegalega?
Ukiambiwa andika ufanisi wa serikali ya CCM utawatambulisha Kwa kauli gani Kati ya hizi hapa juu?
Hakuna serikali inayonuka Kwa ufisadi kama hii ya samia.mfano kwenye Reli slot 3 na 4 iliyosainiwa na hii serikali watu wamepiga pesa.Seikali ya CCM inaongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassani ambaye wazi kabisa ameonyesha kuchukizwa na yanayofanyika, hapa jibu sahihi nikuwa watanzania tunakosa uzalendo ninahakika hata ingekuwa CHADEMA kwa muonekano wa viongozi wake hali ingekuwa mbaya zaidi. Shida kubwa na hii ni Afrika kwa ujumla ni nepotism (ubinafsi) upo tayari kuongeza faida katika invoice ya kampani ya ndege kwakua wewe binafsi utafaidika.
naunga mkono hoja lakini sharti unielewe mkuu, hivi unahsi itatokea serikali hawatapiga kama wanaopiga hakuna hatua zozote tangia Uhuru? ifike mahali fedha ya umma iogopwe hapo tutaendelea kama Taifa. Anayefanya ufisadi anakula shaba huyo ni sawa na mhaini.Hakuna serikali inayonuka Kwa ufisadi kama hii ya samia.mfano kwenye Reli slot 3 na 4 iliyosainiwa na hii serikali watu wamepiga pesa.
USIIFANANISHE CHADEMA na CCM CCM imekuwa madarakani kwa Miaka 60 wizi na Ubsdhirifu ni ule ule kwa Miaka 60 ni dhahiri HAIREKEBISHIKISeikali ya CCM inaongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassani ambaye wazi kabisa ameonyesha kuchukizwa na yanayofanyika, hapa jibu sahihi nikuwa watanzania tunakosa uzalendo ninahakika hata ingekuwa CHADEMA kwa muonekano wa viongozi wake hali ingekuwa mbaya zaidi. Shida kubwa na hii ni Afrika kwa ujumla ni nepotism (ubinafsi) upo tayari kuongeza faida katika invoice ya kampani ya ndege kwakua wewe binafsi utafaidika.
Waambie kwanza Mods watoe hiyo alama ya kuuliza kwenye kichwa chako cha habari, ili kuhitimisha huu mjadala wako.Kilichoelezwa kwenye ripoti ya CAG kinatosha kutuaminisha kwamba serikali ya CCM ni wezi? Au itoshe kusema serikali ya CCM imeshindwa kusimamia sheria? Au basi tuseme serikali ya CCM imelegalega?
Ukiambiwa andika ufanisi wa serikali ya CCM utawatambulisha Kwa kauli gani Kati ya hizi hapa juu?
USIIFANANISHE CHADEMA na CCM CCM imekuwa madarakani kwa Miaka 60 wizi na Ubsdhirifu ni ule ule kwa Miaka 60 ni dhahiri HAIREKEBISHIKI
Short n very clear.. Ni MAJAMBAZIKilichoelezwa kwenye ripoti ya CAG kinatosha kutuaminisha kwamba serikali ya CCM ni wezi? Au itoshe kusema serikali ya CCM imeshindwa kusimamia sheria? Au basi tuseme serikali ya CCM imelegalega?
Ukiambiwa andika ufanisi wa serikali ya CCM utawatambulisha Kwa kauli gani Kati ya hizi hapa juu?
Serikali ya Majizi! Majizi ya KimataifaKilichoelezwa kwenye ripoti ya CAG kinatosha kutuaminisha kwamba serikali ya CCM ni wezi? Au itoshe kusema serikali ya CCM imeshindwa kusimamia sheria? Au basi tuseme serikali ya CCM imelegalega?
Ukiambiwa andika ufanisi wa serikali ya CCM utawatambulisha Kwa kauli gani Kati ya hizi hapa juu?
Vyombo vya usalama ni sehemu ya ccm. Ccm ni chama-dola.Yaani vyombo vyote vya usalama viliamua kulinda hayo yaani ni sehemu ya maamuzi ya nchi yetu!!